Underceteris
Member
- Sep 29, 2018
- 81
- 147
Kuna watu hawajui shida....nimewahi kuteseka sana mkuu chuo nilikuwa nawakwepa mademu kibao/ kazini nimewahi kuwakwepa mademu kibao kisa machine kutokusoma nyuzi tisini na baada ya kimoja chali ila kwa sasa heshima ipo mkuuWanatoka nje ya mada
Unamenya unameza usiku kama unavyomeza dawa za kawaida kuanzia punje mbili; ukiweza kutafuna ni ww tu hakisha unaswaki vizuri asubuhi maana harufu yake wengi hawaipendiHivo vitunguu swaumu unafanyaje
Asante mkuuUnamenya unameza usiku kama unavyomeza dawa za kawaida kuanzia punje mbili; ukiweza kutafuna ni ww tu hakisha unaswaki vizuri asubuhi maana harufu yake wengi hawaipendi
Correctly mkuuYou are what you eat
Kuna mmoja nilishawahi muona yeye ana mashine ya kumenyea vitunguu swaumu ni portable alikua anauza 6,000 tatizo lake aliniambia nisubiri miezi mitatu atakapo agiza vingine tena.Kuna mixer moja nimeiona kwenye mtandao dada mmoja anauza mixer ya tangawizi asali kitunguu saumu naifuatilia niteleta mrejesho ingawa vitu vya kuchanganyiwa vinakuwa na madhaifu mengi kuanzia usafi/ ubora na bei
Kiasi chochote unachotaka ila mimi sinaga kipimo maana napigaga pafu yangu moja au mbili chapu kwa maana ipo kwenye chupa kama za maji hizi.Hiyo asali unakunywa kiasi gani mkuu
Vitunguu vya kumenya na mashine si vya biashara mkuu😀😀😀Kuna mmoja nilishawahi muona yeye ana mashine ya kumenyea vitunguu swaumu ni portable alikua anauza 6,000 tatizo lake aliniambia nisubiri miezi mitatu atakapo agiza vingine tena.
Tatizo sio madaktari. Biashara ya madawa ni biashara kubwa sana duniani ndio maana vitu kama hivi huwezi kuvipata kirahisi mpaka uwe unafikiri nje ya box ww ulishawahi kujiuliza hayo madawa yanatengenezwa na nn kama sio hivi hivi vitu ninavyowaambia fuatilia ingredients za madawa mengi kama hamna kitunguu saumu ni tangawizi.Umenena Madaktari Wa kibongo ni wachoyo saaana kushare ujuzi,sanasa akikusaidi nikukuandika dawa tu.Magonjwa kalibia yoote yanatibiwa Na chakura au kubadilisha mfumo Wa maisha.
Poa mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haya mkuu
Labda ungetuambia kazi ya mbegu za majani ya maboga ili kupata maarifa zaidi ila kama unaweza kupata tikiti/tango/ndizi kitunguu saumu/tangawizi asali usiache kutumia mkuu ni kwa faida yakoTrust me natumia tu mbegu za mboga zinanifanya niwe full 5G muda wote
Mkuu bado nasubir mrejesho huo mchanganyiko ukojeKuna mixer moja nimeiona kwenye mtandao dada mmoja anauza mixer ya tangawizi asali kitunguu saumu naifuatilia niteleta mrejesho ingawa vitu vya kuchanganyiwa vinakuwa na madhaifu mengi kuanzia usafi/ ubora na bei
Mkuu, nadhani uzi wako kama vijana wengi wakiupitia na kuyafanya yote uliyoyaainisha hapo basi watabadiri mitazamo yao hasi ya kwenda kwa sangoma.Nimekuwa fiti kwelikweli hadi najiuliza nilichelewa wapi kujua siri hizi ambazo watu wanahangaika na madawa ya ajabu ajabu