Bado unajiboost, viagra ni viagra tu either iwe ni ya nyumbani au ya wamasai, kwaio bila tangawizi, garlic, asali sijui na maziwa huwezi kula show?
Ni kweli wewe ni ndivyo unavyokula. Virutubisho unavyo vipata kwenye hizo boosters unaweza kuzipata sorce zingine.
Hupaswi kukamia, kuchagua au kutegemea aina fulani za milo...kula vyakula mbalimbali tena vya kawaida. Magnesium na zinc zinazopatikana kwenye hizo boosters pia zinapatikana kwenye vyakula vya kawaida.
Kama tatizo ni anxiety na depression, kuna njia za kukabiliana nazo na kama tatizo ni mzunguko wa damu zpo njia nyingi za kufanya ili kumaliza tatizo.
Matunda yana sukari pia na wanga ni sukari, usituambie umeacha wanga, tuambie umemodify wanga ili kuongeza na vitamin 'c'
umenifanya nimkumbuke Ally Bakari aliyedai kajirekebisha kwa kuacha kunywa gongo na kuanza kunywa konyagi.
Kula vitunguu swaumu na tangawizi sini mateso?
Satan