Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Hawa waganga wa humu JF ndo walinielekeza kuwa kuna tiba na mimi nilienda nikiwa na matumaini kuwa ni tiba. Hata kabla ya kwenda nilifanya mawasiliano na nikaambiwa ni tiba tu lakini nilipofika ndo nikakutana na hivo.

Bado nasisitiza Watu waende hospital kwa tiba na wale waganga wanaotibu kila kitu wawahurumie wengine. Najua biashara na pesa ilivo tamu.

Basi na wewe si ujenge basi hata kibanda ili watu wajue pakukupata na sio gizani. Anyway hebu tupe Cv yako basi. Umesomea haya mambo au ni kama akina Ndodi na wengine wanaocopy kwenye internet na vitabu vingine?

 
Mkuu Inkoskaz watatumiaje hizo testorene energizer pasipo na ushauri wa Daktari?
Mkuu MziziMkavu natambua umuhimu wa Doctor Consultation lakini mleta mada aliiweka kama ni suppliment to ta kuchagiza uzalishaji wa testorene ambazo zimepungua, kwa lugha nyingine alikuwa anasema hamna dawa haswa kulingana na story yake ila ni mangufu fulani unayoweza kuyadhibiti na hizo suppliment na ukizingatia waathirika wote hao ni watu wazima dose itafanana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Inkoskaz Wengi wao sikuhizi waathirika ni vijana kuliko wazee kwa sababu wengi wao vijana ni watumiaji wa kupiga punyeto kwa wastani ukipiga

punyeto miaka 3 mfulululizo basi utakuwa na upungufu wa nguvu za kiume wakati wa kufanya tendo la sex utakuwa uume wako hauwezi kabisa kusimama au ukiweza kusimama basi ni goli moja tu hutaweza tena kusimama na shemeji

yangu atakukimbia na kutafuta mtu mwengine. Ndio hivyo Uwanaume ni uume wako ukiwa huna nguvu za kiume huna thamani katika maisha yako hata kama una pesa ngapi? madamu wewe huna nguvu za kiume huna thamani kabisa kaka.
 
Last edited by a moderator:
Mzizi hebu mjibu huyu jamaa hapa kwenye hizi verse alizokuuliza hapa

Basi na wewe si ujenge basi hata kibanda ili watu wajue pakukupata na sio gizani. Anyway hebu tupe Cv yako basi. Umesomea haya mambo au ni kama akina Ndodi na wengine wanaocopy kwenye internet na vitabu vingine?
 
Mzizi hebu mjibu huyu jamaa hapa kwenye hizi verse alizokuuliza hapa
Mkuu njamayo Nimjibu kitu gani wakati mimi sipo Tanzania. Ningelikuwa nipo Tanzania ningeweza kumjibu lakini samahani sipo Tanzania mwenye kunitaka awasiliane na mimi Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Ningekuwa mimi ningewataja tu waganga anaosema walimhangaisha ili kuwanusuru wengine, tofauti na hapo huu ni usanii tu na wala hawezi kunishawishi. Wewe ukiwa na shida usikimbilie private message, uliza hapa mbele za watu, watu mnakimbia wenyewe halafu mnaanza generalize vitu, wewe unaona tu jukwaa limeandika jf doctor unadhani kila anayekujibu hapa ni daktari hujuwi wengine wapo kikazi zaidi.

USHAURI WANGU: Peleleza chanzo cha tatizo lako na uepuke mazoea yaliyokupelekea kupatwa na tatizo hilo, lasivyo utarudi tu humu, we subiri.
 
Fadhili Paulo,

Nimekupata ndugu,

Nachoweza kusema ni kuwa watu waende hospital wakaongee na wataalam na waache hizi story za akina prof. majimarefu kutiana moyo na kupotezeana mihera. nasisitiza saana watu waende hospital na wasitegemee wasanii, wataliwa pesa na tiba hawatapata kabisa.

nimewasilisha

 
Mkuu, nashukuru kwa ushauri wako, lakini tambuwa kauli mbiu ya jf inasema; ''Where we dare to talk openly'',. Hospitali zinajulikana tangu siku nyingi kabla hata ya profesa majimarefu. Unachopaswa kufanya hapa kama KWELI wewe ni muungwana na siyo mfanyabiashara au mpiga chapuo, UNGEWATAJA TU HAPA HADHARANI. Mimi binafsi kwa upande wangu kuendelea kwako kukataa kuwataja hapa watu hao ndiko kunakonifanya nisikuamini kabisa hata kidogo, naona tu una lako jambo basi.

 
Fadhili Paulo,

Nimekupata mdau!!

Lakini mimi nimetoa USHAURU kuwa watu waende hospital, wapimwe, wapewe tiba. Sijawaambia kuwa waende hospital gani. wale wanaotaka naweza kuwapa contacts za persona doctor wangu, sio kuwapata tiba. kuna wengine wameniomba hata niwaambie nilitumia dawa gani lakini nimekataa, kwa sababu ni suala la kitabibu zaidi. Suala la kutaja WAGANGA FEKI hilo halinihusu ingawa wamekula mkwanja wangu. Najua bado watu wengine wana imani nao. Mimi natoa ushauri tu nilikopitia ili wengine wasije pita njia hiyo hiyo. nielewe tu Fadhili hivo. sawa?

 

Asnte sana Mr. Mudushi kwa kuweka hadharani, pia pole sana kwa kupoteza muda na fedha kwa ajili ya kutafuta tiba na jua sio wewe peke yako ambaye umepatwa na tatizo hilo. Ni watu wengi karne hii wanasumbuliwa na matatizo hayo, pia imekuwa ndiyo kigezo cha kuibuka kwa wagonjwa wengi eti wakidai kuwa wnzo tib ya NGUVU ZA KIUME. Hiyo natoa wito na rai kwa watu wote kuwa matatizo ya mwili bora tuende hospitalini tufanyiwe uchunguzi wa kina na tupate tiba sahihi. Tuachane na tiba wizi na ulanguzi za mitani kwani zitatufilisi na kutungozea matatizo na magonjwa mengine.

Mwenye masikio na ayasikie ushuhuda wa madau mwezetu!
 
Pole sana kaka kwa iyo inshu ya nguvu za kiume, but you are not alone ndo kwa maana iyo na mi nimefunguka so nitapataje info zaidi kuhusu hayo matibabu au taja jina la uyo mtaalam na contact zake.
 
Mkuu mudushi Mbona unasema maneno ya uongo?utapigiwaje Ramli wakati umeshamwambia Mganga kuwa una matatizo ya nguvu za kiume?umeshamtajia mganga ugonjwa wako kwanini tena akupigie Ramli? unajuwa kwanza hiyo Ramli?

Unapokwenda kwa mganga ukisha mueleza matatizo yako inakuwa tena umemrahishia kazi kuliko wewe ukienda kwa mganga ndio akuangalie yeye una matatizo gani? inakuwa umempa kazi ya kupiga Ramli mkuu unanielewa lakini? umepewa tu ushauri hapa na baadhi ya watu wewe unasema umeambiwa na waganga humu ndani mtaje mganga mmoja humu ndani wa kienyeji aliye kupa ushauri wakwenda wewe Shinyanga?
 

Mzizi,

Anyway ngoja nikujibu ili urizike.

Simaanishi nilipigwa ramli. no. nilipotambua tu ni sangoma, nikaamua kugeuza, ndo hivo!! Aafu na wewe Mzizi naona kiburi kinakupanda watu wanapokuita Doctor wakati na wewe ni mganga tu wa humu JF. maDoctor wanajulikana bana!! Sipo kuwataja waganga bali kuwaelekeza waende wapi kupata tiba.

umenipata. Nimeku-PM.
 

Asante kwa ushauri mudushi. mungu akubariki sana
 
Feedback nzuri, ingekuwa vizuri wengi wakawa wanaleta feedback kama wewe. Ila ni next to impossible kuprescribe dawa kwa online Mgonjwa; kwenda hispt kwa vipimo ni muhimu. So ukileta shauri huku likiwa na majibu ya vipimo at least ndipo mtu anaweza kukwambia tumia this or that.
 
Kaka nakupongeza sana kwa kupona inshu hiyo but we unajua vizuri iyo kitu ilivyo serious na secrety kwa wengi so kuku p.m tu haitoshi kwani kuna ubaya gani kutoa maelekezo mazuri ya kumpata dokta kwa urahisi hapo N.N.H au contact zake. Hii ni inshu muhimu kaka tafadhali saidia wengi wapone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…