mudushi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 151
- 86
- Thread starter
- #21
Hawa waganga wa humu JF ndo walinielekeza kuwa kuna tiba na mimi nilienda nikiwa na matumaini kuwa ni tiba. Hata kabla ya kwenda nilifanya mawasiliano na nikaambiwa ni tiba tu lakini nilipofika ndo nikakutana na hivo.
Bado nasisitiza Watu waende hospital kwa tiba na wale waganga wanaotibu kila kitu wawahurumie wengine. Najua biashara na pesa ilivo tamu.
Basi na wewe si ujenge basi hata kibanda ili watu wajue pakukupata na sio gizani. Anyway hebu tupe Cv yako basi. Umesomea haya mambo au ni kama akina Ndodi na wengine wanaocopy kwenye internet na vitabu vingine?

Mkuu mudushi Utakwendaje kupigia Ramli wakati wewe umekwenda kwa mganga ili akupe Dawa za Nguvu za kiume?Ilikuwa wewe kabla ya kwenda kwa mganga ungelikwenda hospitali ili Daktari akupime Mwili wako huenda una Ugonjwa wa Kisukari au Maradhi ya Moyo,au Mafuta Mengi Mwilini (High Cholesterol), Uvutaji Sigara, Matumizi ya Madawa ya Kulevya, Matatizo katika Uhusiano, Mawasiliano Duni na Mwenza wako, Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa Mawazo, Wasiwasi (Anxiety),Unywaji
Pombe,Upungufu wa Homoni aina ya Testerone, Kuongezeka Uzito au uzito Uliopitiliza, Tabia ya Kujichua kwa Muda Mrefu Punyeto (Masturbation) Na kadhalika hizo ndio sababu kuu za upungufu wa Nguvu za kiume ukiwa huna hayo matatizo basi waweza kwa mganga wa kienyeji akupe Dawa za nguvu za kiume Mkuu.@mudushi chanzo MziziMkavu Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com