UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume vya kutosha kuweza kujamiiana. Anaweza kushindwa kusimamisha kabisa au akashindwa kumaintain uume kusimama wakati wa kujamiiana. Hujulikana kama 'erectile dysfunction' au 'impotence' kwa kiingereza. Hili ni tatazo ambalo linashika kasi na likitokea zaidi kwa wanaume wenye umri mdogo zaidi. Amini usiamini kila siku inbox yangu inajaa na maswali kuhusu upungufu wa nguvu za kiume na inaonekana wanandoa wengi wameathirika kiasi chakuwa wanaume wamekosa amani katika ndoa zao.
CHANZO
Upungufu wa nguvu za kiume unaoambatana na kupungua hamu ya mapenzi:
- Upungufu wa homoni za kiume
- Msongo wa mawazo (Stress)
- Ukatili wa kimapenzi (Mpango wa kando)
- Ugomvi kila mara baina ya wana-ndoa na hii huchangia pakubwa sana kwa tatizo hili
Upungufu wa nguvu peke yake:
- Kisukari
- Shinikizo la damu la kupanda
- Magonjwa ya mishipa ya damu (Multiple sclerosis)
- Baadhi za dawa za hospitali
- Upasuaji kwenye nyonga
- Ajali; kuvunjika nyonga, uti wa mgongo na kuumia uume
- Ushirikina
TABIA HATARISHI ZINAZOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Tabia hatarishi zifuatazo zinachangia kutokea kwa tatizo hili kwa wanume:
- Kutofanya mazoezi ya mwili.
- Uvutaji wa sigara na tumbaku
- Unywaji sana wa pombe
- Kula vyakula visivyo na virutubisho kama nafaka ziliokobolewa, vyakula vyenye mafuta kwa wingi, kiasi kidogo cha mboga za majani na matunda kwenye mlo.
- Uzito wa kupitiliza (overweight).
Kupunguza au kuacha tabia hizi itasaidia kutibu tatizo hili kama unalo au kupunguza uwezekano wa kujitokeza.
MATIBABU
Kiasi kikubwa cha tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume linatibika. Matibabu yanaelekezwa kutibu sababu inayoleta tatizo hili. Matatizo ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo yanaweza kutibiwa kwa ushauri nasaha na wataalamu wa afya. Mara nyingi dawa za uhakika huwa bei yake ni ya juu. Njia nyingine za matibabau ni:
- Dawa (za Hospitali au za Asili zaweza kutumika)
- Vacuum pumps (Njia ya Hospitali)
- Ikiwa sababu nikutokamana na ushirikina tafuta shekhe akusomee ruq'ya
- Mabadiliko katika lishe: kupata lishe bora kutoka kwenye mlo unaotokana na nafaka zisizokobolewa, ulaji wa Karanga na Nuts nyingine, Mboga za majani na Matunda kwa wingi. Vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume ni kama Almonds, Tikiti maji, Blueberry, Mtini (Figs), Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters), Vitunguu saumu, Ndizi, Chocolate n.k
Ni vizuri kula kwa kiasi kabla ya kufanya mapenzi, hasa wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala. Kuvimbiwa husababisha mwili kufanya kazi ya ziada ya kumeng?enya chakula hivyo kuingiwa na uchovu, uvivu na kunyong?onyea. Hii husabisha kukosa usingizi na kupungua kwa umahiri wako katika kufanya shughuli nyingi zinazohitaji nguvu, ikiwemo mapenzi, kwa ufasaha.
Usije kumtafuta mchawi wakati wewe ndio unajiroga, kuwa makini.
Kama ilivyo ada kwenye mambo mengi ya kiafya, hakuna muarobaini. Ni vizuri ukajaribu kubadilisha chakula unachokula, fanya mazoezi mara kwa mara ili kupata mwili wenye nguvu (Kama dakika 30 kila siku).
JE! UNA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?
Kama una tatizo hili na umeshindwa kulipatia ufumbuzi baada ya kujaribu madawa mingi, wasiliana nasi.
Tuma ujumbe kupitia 'whatsApp' au piga simu kwenye nambari zifuatazo: +255-714-206-306