Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Inasumbua!!!🤒🤒
 
Mimi si daktar ila kiuhalisia kuna maradh huwez kujigundua mpaka ufanye vipimo ndio maana unapoanza kazi hufanyiwa medical checkup ila kwa haya huwez kua una paform vizur alaf ukaenda kupima haya utaenda hospital mpaka ujigundue mwenyewe kua husimamishi ama inasimama legelege ama husinyaa ukeni kuwah kukojoa na vengine hapo ndio utafanya hayo kama kuna vipimo ama tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiisemee vibaya punyeto hujui siku wala SAA utakayorudi kundini.
 
ngoja nije inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…