Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe


asante sana kwa ushauri, unaweza kunisaidia hayo mazoezi ya tumbo au ni zile sit ups tu zinatosha
 
asante sana kwa ushauri, unaweza kunisaidia hayo mazoezi ya tumbo au ni zile sit ups tu zinatosha
Hizo ni nzuri ongeza na Crunches....zote hizo huondoa Fat belly...mazoezi ya tumbo yapo so Common..

Kuna mtu nimeona ameshauri Roller ni nzuri ila ukweli ni mazoezi magumu sana na yanahitaji uzoefu mkubwa....


Kubali kujitesa na uwe mvumilivu sana baadae utazoea na utapunguza tumbo vizuri...

Diet ni muhimu...kama bado unakula sana Chipsi au Red meat punguza ila sishauri uache unahitaji sana Protein kujenga mwili vyema...

Mwisho kabisa tupo hapa kupeana moyo usisite kutushirikisha Changamoto utazokutana nazo utapoanza ratiba ya mazoezi na diet ....itakusaidia sana kubaki kwenye mstari sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…