Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Unaeza mfuatilia huyu jamaa anaitwa "Brandon Carter" you tube kwa wale wenye mda mchache wa kufanya mazoez jamaa ana clip za dk 15-30


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee umenikumbusha nilipata shida sana kutoa tumbo la chini
Nilikuwa natumia roller kuna siku niliarisha balaa
Pia kuna siku mkojo ulichanganyika na damu ila sikukata tamaa lengo lilikuwa tumbo lazima linitoke Mungu mkubwa sina tumbo la chini wa la la juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kiwanjani wapi huko, nami nije

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…