Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Unaeza mfuatilia huyu jamaa anaitwa "Brandon Carter" you tube kwa wale wenye mda mchache wa kufanya mazoez jamaa ana clip za dk 15-30


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumbo la chini kulitoa linahitaji uvumilivu mno....Yan kwa hizo kilo zako na height tumbo la chini hukupaswa kuwa nalo..

Fanya mazoezi ya tumbo kwa muda mrefu takribani mwezi mzima hvi..asubuhi na jioni kila siku..

Kazania hayo mazoezi kwa muda mrefu kama ukiweza kimbia ama ruka kamba kwa uchache ili usipungue kilo sana,Lengo liwe tu kutoa tumbo la chini...

Pale utakapoona maumivu endelea usiache mazoezi ya tumbo japo ukweli yanahitaji uvumilivu..

Usile sana vyakula vya mafuta kila siku...kula tu mara moja moja inapobidi...

Thank me later!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umenikumbusha nilipata shida sana kutoa tumbo la chini
Nilikuwa natumia roller kuna siku niliarisha balaa
Pia kuna siku mkojo ulichanganyika na damu ila sikukata tamaa lengo lilikuwa tumbo lazima linitoke Mungu mkubwa sina tumbo la chini wa la la juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roller yangu hadi imepasuka
1581109373314.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu...ahsante kwa kuliona hilo...nafurahi pia niliwasaidia na wenzangu kupunguza unene...kwa mazoez kuna jamaa angu alikuwa aenda gym miezi sita...kuna siku nilimuuliza unahitaji kupungua?...akanambia ndio...nkamuambia tukutane kiwanjani saa 12 asubuhi...leo hii kawa kimodo[emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kiwanjani wapi huko, nami nije

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom