nimekutana nao Ila why telling the mass?
Kwamba comment yangu imejaa hasira 😆Nami niliamka na hasira hasira ila hasira zako zimeondoa hasira zangu 😂😂😂😂😂😂
Hahahaha, mavi ya kuku nani criss brown au mtoto wa Mobutu ?[emoji28][emoji28][emoji28] Unajishauaaaaaaa!!
Unajiona Chriss Brown au mtoto wa Mobutu eti.
Acha kunibania wewe.
Aahh wapi mtoto kakuelewa huyo " watu mna nyota zenu bwanaHahahaha, bahati gani Mkuu hy ? Huyo anazingua chit chat
Acha zako wewe!!!Hahahaha, mavi ya kuku nani criss brown au mtoto wa Mobutu ?
Sikubanii ni utaratibu tu uliowekwa
Hahahaha, Mkuu hkn lolote huyo NishamzoeaAahh wapi mtoto kakuelewa huyo " watu mna nyota zenu bwana
Mkuu Fanya tuonane nikushike walau mkono namimi uniambukize huo mvuto
Bwahaahaa hahaa
Umuoni JF kakimbia ID baada yakuona kuna mtu anamjua physical uhuru wa kujiachia na privacy haipo sasa anakuchora wewe tu unayoyaandika wewe humjui.Binafsi nimeshakutana na mtu mmoja ambapo tumesaidia ktk kubadilishana na kushauriana mambo ya maisha. Hatuna mahusiano ya kimapenzi ni urafiki tu. So far simuoni JF lkn ni mdada flan mstarabu sana aisee
fyddell
Nikutaje katika niliokutana nao au nikuache nimtaje John Doe Kellerman tu???Kwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.
Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
Hahahaha, zipo hizo bibieAcha zako wewe!!!
Ktk huu UZI lengo sio kujigamba kwamba labda umeonana na flan bin flan not the case, .. intention ni kushare kqmanuliwah kupat rafiki (sio kumtaja) au jamaa , mkasaidia in one way or another (if U think U can share not a commnad) kupitia JF kuna watu mfano ktk jukwaa la matibabu kule wana share aina za magonjwa na matibabu na unakuta mtu kweli anasaidiwa majina ya madawa ya matibabu ya maradhi hayo (hasa hasa madawa ya asili)
Hana utoto ni mtu mzima ana biashara zake na huwa tuna badilishana pia mawazo ktk maswala ya kilimo,... Recently hakuwa na smartphone nahis ni moja kati vitu vinavyo mfanya asitumie JF ....Sio
Umuoni JF kakimbia ID baada yakuona kuna mtu anamjua physical uhuru wa kujiachia na privacy haipo sasa anakuchora wewe tu unayoyaandika wewe humjui.
Tena sheria iwe kali.mambo gani yakuja kuanikana huku sasaTena hii inabidi iongezwe kwenye kanuni na masharti ya JF, ni marufuku na kosa la jinai kujimwambafy unafahamiana na member wa JF.
Kama nna shida na mtu tutatafutana tuyajenge lakini sio kuweka hapa hadharani.
Kwa kumsaidia tu mleta uzi, hawa watu tulionao JF ndio hao hao tuko nao mtaani.
Kuna waungwana, wafanya biashara, matapeli, wenye kujitambua, mateja, watoto, wazee yani kila kaliba.
Namaanisha ni kisima chenye kila kitu unaweza kupata msaada au kujifunza mambo ya muhimu yakakusaidia maishani.
Si hutaki kukutana mkuu😎😎😎😎
Huyu kiazi, hakusoma ushuhuda wa mahondaw na mume wake? Asitupotezee muda wengine tunaogopa kugonganisha matrellaKwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.
Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee