Mkuu Tabia mtabadilishana huko huko mbele kwa mbele " Zile swing swags zake za kuweka breech kichwani na kuvaa jeans zilizo chanika chanika ... Endapo akijiweka kwako ataziacha tu ... Siwajua kipendacho roho kula nyama mbichi
Privacy ina uhusiano gani na utoto.Hana utoto ni mtu mzima ana biashara zake na huwa tuna badilishana pia mawazo ktk maswala ya kilimo,... Recwntly hakuwa na smartphone nahis ni moja kati vitu vinavyo mfanya asitumie JF ....
Hapana sizani kama.kuna mtu anaweza kwenda m ali kiasi icho !! Huyo mtu atakuwa hana nia nzuri ... SNs ni moja kati ya platform kukutana na watu mbalimbali kama ambavyo mtu mwingine anakutana na mtu through seminars au makongamano ya kidiniSasa si ndio maana nimeandika hii JF ni kama uraiani tu, tena umetolea mfano mzuri kabisa, mtu akiwa na tatizo anaandika uzi watu wanachangia kadri ya uelewa wao. Na wengine wanaandika jinsi walivyonufaika kupitia JF.
Hauoni kwa hii thread wenye uelewa wa shake well before use wanaweza kufunguka zaidi wakaenda mbali hadi kutaja watu kwa ID zao?
Hahahah inategemea ntu na ntuSi hutaki kukutana mkuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaha, tatizo utakuja kufungua Uzi na kutembeza selfie PM hukoEee ndoto yangu ni kukaa na wewe meza moja ukinywa Bapa nikinywa kahawa na kiselfie.
Namimi nigee hizo no nikupigie hata video call jamaniiiiiii.
Hahahaha, we MTU una uchochezi sanaMkuu Tabia mtabadilishana huko huko mbele kwa mbele " Zile swing swags zake za kuweka breech kichwani na kuvaa jeans zilizo chanika chanika ... Endapo akijiweka kwako ataziacha tu ... Siwajua kipendacho roho kula nyama mbichi
Ni mtazamo wako. Kama una shindwa kulink usiri (mambo binafsi) na akili ya kitoto .... Sijui ulikuwa una jibu vp maswali ya essay enzi unasoma yaan unashindwa kutengeneza hoja ya kulink privacy na utoto ...... I feel sorry for youPrivacy ina uhusiano gani na utoto.
Nina mashaka na uwelewa wako na hujui nini maana ya Jf.
Hahahaha, boss huo uko wapi ?Namimi nigee hizo no nikupigie hata video call jamaniiiiiii.
Mimi pia nitakuwezaje mtu kama wewe? Mtu mkubwa wewe boss of bosses.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo tabia sina.
Hahaa msikilize mwenzio tafadhali ...na wewe amu watu wazima kama hawa huwa wakikubali jambo kwa issue kama hiyo huwa hawaitikii ndio nimekubali hapa mbele ya hadhira ... Wewe mfuate Pm mkayajenge then thanks me laterHahahaha, we MTU una uchochezi sana
Aisee ..... !!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo tabia sina.
Nyie wanaume ndo mna tabia hizo.
Yaani kitendo tu cha mtu kupata picha anaitembezaaaaaaaaaa na akitaka kibuyu ukinyimwa ndo kabisa hasira anamalizia jukwaani anaweka picha hewani na bla bla kibao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu husahau? hizo ni swag za mtaani tu.Mkuu Tabia mtabadilishana huko huko mbele kwa mbele " Zile swing swags zake za kuweka breech kichwani na kuvaa jeans zilizo chanika chanika ... Endapo akijiweka kwako ataziacha tu ... Siwajua kipendacho roho kula nyama mbichi
Ngoja nijiongeze pm[emoji2088][emoji2088][emoji2088]Hahaa msikilize mwenzio tafadhali ...na wewe amu watu wazima kama hawa huwa wakikubali jambo kwa issue kama hiyo huwa hawaitikii ndio nimekubali hapa mbele ya hadhira ... Wewe mfuate Pm mkayajenge then thanks me later
Mpaka hapa si umeshanitaja 😅Nikutaje katika niliokutana nao au nikuache nimtaje John Doe Kellerman tu???
Naunga mkono hoja hapa...[emoji41][emoji41]Sio
Umuoni JF kakimbia ID baada yakuona kuna mtu anamjua physical uhuru wa kujiachia na privacy haipo sasa anakuchora wewe tu unayoyaandika wewe humjui.
Tell himMkuu, ebu acha kuua ndoto za watu...[emoji23][emoji23]
Nimepata marafiki wa kutosha japo pia nimekutana na vimeoKwa urafiki na mambo ya corperate well and good thumb up chief
Hahaa na were ubarikiwe piaNgoja nijiongeze pm[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ahsante.
Uwe na asubuhi njema.