Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela


pengine wanashindwa kujitoa mhanga wakihofia mabwepande
 
Kwenu wadada wa JF,hebu jaribuni kuvaa uhusika,ungekuwa wewe ndo 'SALIMA',(mama mwenye nyumba),ungemshauri nini BABA MWENYE NYUMBA?
mi
ningemshaur amsamehe coz km limetokea ndo lishatokea na haliwez kufutka ktk historia,ictoshe km adhabu ishamsulubu kwa miaka ming 2. wat else then..."mwachie mungu 2 tena mume wng adhabu yke itamshukia"
 
Hii kesi bado ina utata mkubwa sana,hasa ktk mazingira ambayo washtakiwa wametenda kosa lao,pia swala la mila na desturi zetu sisi waafrika pia linaongeza utata,lakini kwa sisi tusioamini kuwa babu seya katenda hilo kosa ushahidi wetu uko wapi?upande wa pili walionyesha ushahidi wao ulioonekana una nguvu na wakashinda.pia naomba kujuzwa wimbo wa salima ulitoka mwaka gani?
 
Huyu alibaka kweli na kama unataka uthibitisho tembelea familia za watoto waliotendewa kitendo hicho upate ukweli. nyingi ya familia hizo wanaishi maeneo ya sinza jirani na mashujaa primary school. Ameharibu watoto na si kusingiziwa!
nimepata kusikia hata mim kwamba ni kwel
 
Ngongoseke soma mwanzo wa uzi mpaka mwisho naamini kuna jambo utajifunza!
 
Last edited by a moderator:
Nikweli walibakwa na watu wengine kwa nia yakutengenza ushahidi, ili kumtia hatian bab theya na wanae
 
!
!
Mange Kimambi atambuliwe kama *Mheshimiwa Nabii Mtume Mange Kimambi* hili la Familia ya Babu Seya alilitabiri kitambo kidogo
[HASHTAG]#TunafukuaMakaburi[/HASHTAG]
 
Kuna watu "wajinga wajinga" hawajui undani wa story ya babu seya wananikera mnoo!kuona wanalaani kitu wasokijua.. Kama unaishi bila kutumia mantiki unaweza kuwa mtu mbaya sana.
 
msitukumbushie machungu haya
wahenga husema "kila mla cha mwenzie na chake huliwa".........
:dance:
vilevile kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
.....na mwisho wake umekuwa leo

Kweli chenye mwanzo kina mwisho
 
Ulisema hatotolewa kwa msamaha...imekuaje tena loe
 
leo naona mnafufua za babu seya tu mwe! au ndo babuseya day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…