Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

Kwani limejengwa kwa matofali ya dhahabu?
 
Zuri sio kama kile kidaraja fake cha bilioni 7
 
Apo milion mia moja
 
Hata mia na hamsini haifiki namaanisha ( 150,000,000/= haifiki
 
Sasa wewe kada wa wapi? We kada gani unashangaa haya wakati ndo zenu? Unawasaliti wenzio au sio?
 
Mi ninawasiwasi hela wanazotumia serikali kujenga sio tunazotumia sisi huku kitaani
 
Milioni 50 ni nyingi. Hata ukiweka na samani za bei mbaya haifiki 90m
 
Milioni 200 unajenga hilo na chenji inabaki
 
Haya majengo huwa ni full zege hakuna tofali inatumika hapo.

Hizo kuta unazoona ni zege sio tofali niliona wakati wanajenga huku kwetu!

Nadhani hiyo ramani imetumika nchi nzima!
Jengo liwe full zege? Yaani kuta zote hapo ziwe full zege? Hata gereza haliwezi kujengwa hivyo. Bongo Kuna watu wengi wajinga mno
 
Isinge stahili kuzidi 250-300 Mlioni.
Hivyo 400milion zimepigwa hadharani.
Shortly hiyo fedha ilitosha kujenga Mahakama nyingine mahala pengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…