Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
ndio size yenu hao !
Hao wanajeshi vp? 😳 🤷♂️ maana mkuu alisema ingekuwa uamuzi wake angeamua wachezaji wa kijeshi kucheza timu ya taifa.
teh teh, watani jana wamepapaswa na ruvuNi kweli manake nyie hata ruvu sio size yenu