Shuhudia leo Samba football Simba vs JKT Tanzania

Shuhudia leo Samba football Simba vs JKT Tanzania

Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!

Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.
 
Hao wanajeshi vp? 😳 🤷‍♂️ maana mkuu alisema ingekuwa uamuzi wake angeamua wachezaji wa kijeshi kucheza timu ya taifa.
 
Hao wanajeshi vp? 😳 🤷‍♂️ maana mkuu alisema ingekuwa uamuzi wake angeamua wachezaji wa kijeshi kucheza timu ya taifa.

Hawa Jkt kama ndiyo tungeanza nao jana hawa, nina imani hata washambuliaji wetu 'butu' Molinga na mwenzake Sadney wangefunga aisee! Wako nyolonyolo kiasi utadhani hawaishi kambini! Yaani akina Kagere wanajipigia tu.
 
Kagere ni mchezaji wa ligi ya vodacom, mechi za kimataifa haziwezi kabisa
 
haha haya magoli tuliyowafunga JKT, tutawaomba CAF wayahamishie kwa UD SONGO
 
Back
Top Bottom