juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!
Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.
FT: JKT 1-3 SIMBA
Tumeanza vzr na tutamaliza vzr hadi ubingwa
Shida ya Tanzania ni wasahaulifu sana, Kagere msimu uliopita alikua nyuma ya mfungaji aliyeongoza kwa kufunga CAF champion.Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!
Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.
Kwenye wafungaji CAF champion msimu uliyopita alikua nafasi ya pili nyuma ya mfungaji bora, sasa unasemaje hana lolote?Kagere ni mchezaji wa ligi ya vodacom, mechi za kimataifa haziwezi kabisa
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]FT: JKT 1-3 SIMBA
Tumeanza vzr na tutamaliza vzr hadi ubingwa
Hayo ndo mashindano pekee mnayoyategemea kwa saså, usajili wote mnaishia kucheza ligi kuu tu safar hii hata kagame cup mtaililia kuwepoTumefungua kwa show game ya hatari na tumeshinda...SimbaNguvuMoja
Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!
Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.
Kumbu kumbu huna Al ahly mechi ya kwa Mkapa kapiga goli pass akipokea kwa Bocco,Nkana kapiga goli la pili kwa kichwaBila shaka alifunga hizo goli kwenye mechi za awali au hao CAF wamejumlisha na magoli alizofunga alipokua Gor Mahia, kabla ya kuhamia Simba! Maana kumbukumbu zangu zinaonesha hakufunga goli lolote kuanzia mechi za Nkana, Al ahly, As Vita, Tp Mazembe, Ud Songo, nk.
Karibuni kwa data zaidi tafadhali mashabiki wa Simba. Sina tatizo na Striker wenu, yuko vizuri kwenye ligi yetu. Ila kwa upande wa kimataifa, bado naona ana stuggle tu.
Hoja yako ilikuwa anarukaruka tu mechi za kimataifa,umeletewa takwimu za mechi za kimataifa umeanza kuhara. Hara salamaBila shaka alifunga hizo goli kwenye mechi za awali au hao CAF wamejumlisha na magoli alizofunga alipokua Gor Mahia, kabla ya kuhamia Simba! Maana kumbukumbu zangu zinaonesha hakufunga goli lolote kuanzia mechi za Nkana, Al ahly, As Vita, Tp Mazembe, Ud Songo, nk.
Karibuni kwa data zaidi tafadhali mashabiki wa Simba. Sina tatizo na Striker wenu, yuko vizuri kwenye ligi yetu. Ila kwa upande wa kimataifa, bado naona ana stuggle tu.
Hata mimiNataka sana kumuona forward mbrazil
Yanga anategemea mashindano gani tofauti na Ligi ambayo hata kubeba hataweza.??Hayo ndo mashindano pekee mnayoyategemea kwa saså, usajili wote mnaishia kucheza ligi kuu tu safar hii hata kagame cup mtaililia kuwepo
Yanga ndo timu pekee inąyoiwakilisha nchi katika michuano ý CAF Champions. Nyie na wabražil wenu wauza ngada mtabaki apa hapaYanga anategemea mashindano gani tofauti na Ligi ambayo hata kubeba hataweza.??
Nyie usajili wenu mnalia daily.