Elections 2015 Shuhudieni CCM walivyoshangilia tishio la kupotezwa kwa Watanzania wenzao wenye mawazo tofauti, halafu eti tunashangaa ndugu zetu wapinzani kupotea!



Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!​
 
CCM kumejaa mataahira!
 
CCM hakuna mwema
Mtu mwema awe huko akifanya nini? CCM ni genge la wezi, mafisadi na wauwaji. Wanateka, wanaua na wanapoteza watu. Hata hivyo kwa Mh. Tundu Antiphas Lissu wamegonga mwamba, wamegota. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya ukombozi.
 

Nitafutieni huyo Chinua Achebe mumlete hapa nimshughulikie. Unasemaje? Yupo nchi gani?
Nigeria? Basi bahati yake, huko siwezi kufika mpaka nipande ndege, angenitambua!​
 
Binafsi sijaelewa, na huwa nauliza watu wangu mara kwa mara, hivi huyu mtu huwa anamtaja mungu yupi anaedai kumtanguliza, yaani umtangulize Mungu kwenye kupanga kuwapoteza watu ?, na huyu ni muuaji nasema kila siku.
Lucifer pia ni mungu
 
Mtatengeneza kila aina ya video ili mpate kura za huruma
Ila Watanzania hatuna huruma na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji, visiwani tayari amechinjwa tunasubiria bara keshokutwa tumuadhibu kwenye boksi
Inasikitisha sana,nafikiri ni vema ukayaacha makalio yako yafanye Kazi yake ya asili kuliko kuyalazimisha yafikiri na kutoa maamuzi,hiyo clip ni genuine,haijatengenezwa popote zaidi ya kinywani mwa huyo anayetamka hayo maneno ya kutisha ambayo hayajawahi kutamkwa na kiongozi yoyote zaidi yake.

Unapolazimisha ukweli uwe uwongo unatupa fursa ya kuamini hata kile mnachotuaminisha kuwa ni Ukweli basi chaweza kuwa ni uongo wa kiwango cha SGR.Hivi kuwa mwanaCCM ni laana?Maana kila aliyepo huko akili zake huwezi kuzitofautisha na zezeta,wote mnafanana.
 
Nimeweka wazi mimi mwana wa nchi hii! sitaumia upinzani ukipoteza wabunge wote ila tuondokane na huy dracular! Aghhhhhhhhhhhhhhhhh! jamani hatuelewani? Huyu ni mhutu! Nimeona wanajeshi wenye nguo nyeusi wamenyoa kiduku zanzibar je hiyo ni uniform ya JWTZ?
 
Tutawapoteza wao sasa! Ccm ni wa kumalizwa wote waishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…