Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM kumejaa mataahira!Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji.
Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena, safari hii tutalia sana kwani kama alivyowahi kuonya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP), aliyeonja nyama ya mtu haachi.
Sana tu. Amani moyoniCCM ni chama cha amani sana
Mtu mwema awe huko akifanya nini? CCM ni genge la wezi, mafisadi na wauwaji. Wanateka, wanaua na wanapoteza watu. Hata hivyo kwa Mh. Tundu Antiphas Lissu wamegonga mwamba, wamegota. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya ukombozi.CCM hakuna mwema
Narekebisha kidogo "mungu wa ccm" usiandike Mungu wa ccm utakuwa unaharibu, Mungu wetu tunayemwabudu ni Mungu wa rehema, haki na upendo, hapendi kuona waja wake wakiuawa.Anamtanguliza Mungu kupoteza watu! Mungu wa CCM siyo Mungu huyu tunayemwabudu.
Lucifer pia ni munguBinafsi sijaelewa, na huwa nauliza watu wangu mara kwa mara, hivi huyu mtu huwa anamtaja mungu yupi anaedai kumtanguliza, yaani umtangulize Mungu kwenye kupanga kuwapoteza watu ?, na huyu ni muuaji nasema kila siku.
Inasikitisha sana,nafikiri ni vema ukayaacha makalio yako yafanye Kazi yake ya asili kuliko kuyalazimisha yafikiri na kutoa maamuzi,hiyo clip ni genuine,haijatengenezwa popote zaidi ya kinywani mwa huyo anayetamka hayo maneno ya kutisha ambayo hayajawahi kutamkwa na kiongozi yoyote zaidi yake.Mtatengeneza kila aina ya video ili mpate kura za huruma
Ila Watanzania hatuna huruma na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji, visiwani tayari amechinjwa tunasubiria bara keshokutwa tumuadhibu kwenye boksi
Nimeweka wazi mimi mwana wa nchi hii! sitaumia upinzani ukipoteza wabunge wote ila tuondokane na huy dracular! Aghhhhhhhhhhhhhhhhh! jamani hatuelewani? Huyu ni mhutu! Nimeona wanajeshi wenye nguo nyeusi wamenyoa kiduku zanzibar je hiyo ni uniform ya JWTZ?Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji.
Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena, safari hii tutalia sana kwani kama alivyowahi kuonya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP), aliyeonja nyama ya mtu haachi.
Tutawapoteza wao sasa! Ccm ni wa kumalizwa wote waisheNaam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji.
Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena, safari hii tutalia sana kwani kama alivyowahi kuonya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP), aliyeonja nyama ya mtu haachi.
Jamaa si kasikika hapo kuwa ni mpoteza watu endapo unatofautiana nae kimtazamo, sasa uwongo upo wapi?Huo ni uwongo wa CHADEMA mwisho wao ni October