- Thread starter
- #21
was that within the law requirements?Rudisha nyuma (rewind) anzia kwa bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
was that within the law requirements?Rudisha nyuma (rewind) anzia kwa bashite
Raisi ana mamlaka ya kuajiri mtu yoyote, mambo mengine mnayouliza mbona ni rahisi sana mnatuchosha great thinkers
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?
Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Whatever laws you are talking about, the president of this country can always override at his/her behest. (Unfortunately/FORTUNATELY ??) if you happen to hold that office you are like GOD in this country.was that within the law requirements?
Lolote linawezekana anaweza kuwa kwenye ajira na huku anasoma ni kitu kinachofahamika popote duniani, vilevile imeongelewa kuwa anaenda kupewa ujuzi wa kinadhalia na matendo yawezekana hata level ya elimu yake ikapanda na zaidi tushaambiwa kuwa tayari kaishapokelewa. Isitoshe tambua kuwa ajira yake imekuwa ni tunu kutoka kwa Mkuu wa nchi na ni tamko la Amiri jeshi mkuu.Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?
Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Hajajua yule kijana wa Mali aliyekuwa france akaokoa mtt akapewa jobu kwa zimamoto army ya ufaransa na raisi wa nchini kwao akamuita kumpa kazi Kama iyo iyo.Sheria inaweza kuvunjwa kwa maslahi mapana ya umma. Hata wahalifu wanaweza kupunguziwa adhabu by the way tafuta pesa nyingi, tengeneza connection, zungunga uijue dunia. Utafurahi sana
Wengi hawajui kuwa tamko tu Ni sheriaTamko la Rais ni sheria... Kateuliwa...
Aliyempa fursa hiyo ana mamlaka ya kurekebisha sheria yoyote kwa maslahi ya umma. Hakuna kilichoharibika hapo. Wivu ndio tatizo lako japo umejitetea huna wivu.Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?
Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Hapo kwenye zunguka dunia. Nakazia. ZUNGUKA DUNIA MEANS, NDIO ELIMU KUBWA KULIKO HATA YA DARASANISheria inaweza kuvunjwa kwa maslahi mapana ya umma. Hata wahalifu wanaweza kupunguziwa adhabu by the way tafuta pesa nyingi, tengeneza connection, zungunga uijue dunia. Utafurahi sana
Sheria inaweza kuvunjwa kwa maslahi mapana ya umma. Hata wahalifu wanaweza kupunguziwa adhabu by the way tafuta pesa nyingi, tengeneza connection, zungunga uijue dunia. Utafurahi sana
Kwa hicho alichofanya mdogo wetu Majaliwa nakubali sheria kuvunjwa kwa manufaa yake na taifa. Dogo alihatarisha maisha yake kwa manufaa ya wengine. Huo ndio uzalendo halisi. Na hiyo ndiyo maana ya Upendo wa kweli.Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?
Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Usikimbie....Hujanielewa, kwaheri!
Basi wewe kwa sentensi hiyo, kwaheri!vilevile elewa tamko la Rais ni sheria pia.