Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

Kama hatojiendeleza, kuna uwezekano huko mbeleni akakosa sifa, pia uongozi utakuwa umebadilika. Muhimu kwa sasa, afanye kazi huku akijiendeleza.
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Maisha aliyojitolea kuyaokoa ya watu zaidi ya 20 yana thamani kuliko hata PhD.. Tusipojifunza kutiana mioyo kwa mambo mema tutaelekea kule kwenye kuwa wachawi bila tunguli...
 
Tafuta hela ili ujue hakuna kisichowezekana Tanzania
 
Maisha aliyojitolea kuyaokoa ya watu zaidi ya 20 yana thamani kuliko hata PhD.. Tusipojifunza kutiana mioyo kwa mambo mema tutaelekea kule kwenye kuwa wachawi bila tunguli...
Hakuna njia nyingine ya kumzawadia vema bila kuvunja sheria?
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Hiyo sheria haipo jeshini.. sheria ya majeshi yetu hairuhusu mashoga tu.. ndo maana watu tulipigwa tochi tukiwa tunaingia kule kwenye mtanange [emoji23] alafu unaambiwa kohoa kudadeki..

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka kulikua Kuna kijiunga jeshi enzi zetu ukiwa na kipaji maalumu,mfano riadha,mpira na vingine Hawa waliingizwa jeshini bila kuangalia elimu yao
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Wewe ndio upo kule siasa na matukio mix wewe ni aina ya watu wenye chuki kubwa choyo na nina imani pia ni mchawi mkubwa sana kule matukio mix whatsup group tumekuelekeza
 
Ungejua nguvu ya Rais kwenye katiba yetu.. ungekaa kimya

Rais ndio kila kitu hapa Tanzania..

Pia dunia imebadilika sheria zina waiver kwenye swala la results oriented.

Hata marekani huwa wanabadili sheria zao kwa sababu fulani fulani
 
Hoja muflisi,ila umetanguliza kutangaza maslah "kinafki" et huna wiv....hizo mb bora ungetupostia matokeo ya yanga arabuni
 
Hatujui sheria za ajira za huko zinasemajeHapa Tz ni kuwa kama huna elimu ya form 4 and above huruhusiwi kuajiliwa na hakuna kipengele cha outstanding perfoemance kama ya majaliwa kuwa itakuruhusu uajiliwe..

Rais yupo juu ya sheria.. ama hujui ili.. sheria zote rais yupo juu nazo
 
Ile ni Presidential decree nadhani umesoma sheria ila umetaka makelele tu.
 
Hii nchi ngumu sana,Mbunge ambae anatunga sheria za nchi anatakiw awe na sifa ya kujua kusoma na kuandika tu ila askali wa zima moto awe na elimua kuanzia form4[emoji3].
 
Kutoka kwenye kuanika dagaa Hadi kuwa majaliwa shujaaa!!
Acheni MUNGU aitwe MUNGU!!
 
Back
Top Bottom