Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

Kwa hicho alichofanya mdogo wetu Majaliwa nakubali sheria kuvunjwa kwa manufaa yake na taifa. Dogo alihatarisha maisha yake kwa manufaa ya wengine. Huo ndio uzalendo halisi. Na hiyo ndiyo maana ya Upendo wa kweli.
Does the law say so?
 
Hajajua yule kijana wa Mali aliyekuwa france akaokoa mtt akapewa jobu kwa zimamoto army ya ufaransa na raisi wa nchini kwao akamuita kumpa kazi Kama iyo iyo.
Lazima braveness
Hatujui sheria za ajira za huko zinasemajeHapa Tz ni kuwa kama huna elimu ya form 4 and above huruhusiwi kuajiliwa na hakuna kipengele cha outstanding perfoemance kama ya majaliwa kuwa itakuruhusu uajiliwe..
 
Ndo maana nilisema majaliwa atakuja kutelekezwa kusikojulikana na serikali ya ccm ni suala la muda tu ngoja huu upepo upite, ni bora majaliwa apelekwe shule akapate hata elimu ya fom4 kupitia QT. ndo aje asome hayo mafunzo mengine baada ya kupata cheti cha fom4 na kuendelea au apewe mtaji wa kufanya shughuli yake ya uvuvi akiwa huru
Cha msingi ajiendeleze tu hata akiwa kazini ili awe at least na elimu ya kidato cha nne,kwani huko mbeleni sana,hawa waliotumia busara hawatakuwepo,pale atakapokuja kuulizwa vipi bnana ilikuwaje mbona hukuwa na vigezo vya kuajiliwa,hasa wakati atakapo kuwa ana fuatilia mafao yake miaka hiyo.Lazima mambo yawekwe sawa muda huu,zisije zikawa ni siasa tu.
 
Hapo lazima mambo yawekwe sawa kwanza,huko mbeleni asije akalia kilio cha samaki!!!
Hili swala lina mihemuko sana watu wamepatwa na mi emotion yao. Kama nia njema, Meja wangekaa nae na kuangalia ndoto zake na kumsaidia kufikia huko hizi za ajira tena wamapotaka wao na huenda meja wala sio ndoto zake, pili wana secure vipi legacy ya alichofanya
 
jeshini la saba wanaingia
JWTZ na kuna kamand ya navy pia huko
 
Hivi drs la 7 ana tofauti na form 4 failure ambao ndo wamejaa kwenye hiki kitengo?
 
Hatujui sheria za ajira za huko zinasemajeHapa Tz ni kuwa kama huna elimu ya form 4 and above huruhusiwi kuajiliwa na hakuna kipengele cha outstanding perfoemance kama ya majaliwa kuwa itakuruhusu uajiliwe..
Unajua Raisi ana mamlaka gani juu ya Taifa hili na juu ya katiba lakini?
Kwa iyo kwa huyu kijana ndipo unapotaka Sheria ichukue mkondo wake,na je umeshawahi kuuliza unalali mfano wa mktaba ambao juzi tumeingia wa kukodi software kufuatilia umeme pindi unapokatika kwa 69bn?
Labda sijajua hoja yako nimekuwa biased na ideas zangu.
 
Kwani mamlaka ya raisi wa Tanzania yanaanzia wapi na kuishia wapi?

Nadhani hoja iko hapo.
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Siku hizi darasa la saba hawaendi jeshini?
 
Sasa ww swala la Majaliwa n special case hata angekuwa hajasoma kabisaaaaaaaa.
 
kuna vijamaa navyo sasa vinatamani vingekua majaliwa, shame, mtu aliishia form 2 kwa kukosa hela ya sare za shule leo hii mnamuonea wivu? shule atasoma na kazi atafanya vile vile , ndiomaana hata wale lasaba waliambiwa wajiendeleze wafike form 4 waliokaidi jiwe alikula kichwa.
Binafsi nampongeza sana dogo kwa kazi aliyofanya japo hailingani na malipo aliyopewa
 
Back
Top Bottom