Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

Huyo alifaa kupewa cheo hata cha ugenerali

Ova
 
Kuna siasa mingi hapo, wasije mfanya ajira ya kibarua.. sijui mshara wake ni daraja gani
Inawezekana pia wanamtoa nje ya reli,ili asizidi kuongea maana kwa kitendo alichofanya kawavua nguo especially vyombo vya uokoaji nk
Ukiwangalia sekta ya uokoaji bongo
Hawajui mambo mengi,mf first aid kutoa hawajui,CPR hawajui....
Tupotupo tu
Haya mambo inabd watu wafundishwe ikiwezekana kuanzia mashuleni...syo watoto ubongo wao umejaa bongo fleva tu na kukata mauno tu

Ova
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Majeshi bado wanaajiri la7 mpaka leo.

Ukitaka uthibitisho zaidi wa haya ninayokueleza, uliza staff wa jeshi kwa kujiridhiaha ukianzia na Jwtz.
 
Jf imejaa wachawi live live
Hivi nyie mnaohoji upumbavu hamjui nafasi ya Rais?
Kama mpaka leo jwtz linaajiri wahitimu wa darasa la saba bila hata kauli ya Rais na maisha yanaendelea je, Majaliwa aliyaajiriwa kwa sheria (kauli) ya RAIS?
Enyi wajinga na wapumbavu, mtaamka lini?
 
Akimaliza chuo Cha jeshi la Zimamoto na uokoaji kule kwenye Kambi Yao ya Mafunzo Chogo.

Basi atapewa cheti Cha kuhitimu na hiko cheti ndio kitatumika kumuajiri kama askari mwenye rank ya constable.

Kutokea hapo akijiendeleza ni yeye tu[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109].
Mafunzo mengine ya Kijeshi ataendelea akiwa ndani ya Hilo jeshi.

N.B Haya majeshi yana Darasa la saba kibao tu, ukitoa Immigration
 
Majeshi bado wanaajiri la7 mpaka leo.

Ukitaka uthibitisho zaidi wa haya ninayokueleza, uliza staff wa jeshi kwa kujiridhiaha ukianzia na Jwtz.
Wewe ndiye umetoa jibu la kisomi, la kisayansi. Siyo haya mengine takataka kuwa Rais yuko juu ya sheria na upuuzi mwingine kama huo!
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Lakini na wewe huwa unapenda sana kupinga! Kama si muha au mrundi kama Zitto basi ni Mhaya
 
Rais yupo juu ya sheria.. ama hujui ili.. sheria zote rais yupo juu nazo
Hakuna aliye juu ya sheria! Hili ni jibu linalo reflect level yako ya understanding! Poor my JF, hawa ndio members of this time contrary to earlier times when "think tanks" were on JF
 
Hiyo sheria haipo jeshini.. sheria ya majeshi yetu hairuhusu mashoga tu.. ndo maana watu tulipigwa tochi tukiwa tunaingia kule kwenye mtanange [emoji23] alafu unaambiwa kohoa kudadeki..

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
la kwanza nimelisikia kwako, na labda ni kweli, then that is OK. Hilo ni jibu la mtu anayefikiri. Angalia majiby ya wenzako mara Oh Rais yuko juu ya sheria etc etc. Wewe umejibu vema. Hilo lingine silijui....la tochi
 
Huwezi jua.. ilawaliopitia jkt hiyo code wanaijua mkuu [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiliwa kwa sheria ipi? anakidhi vigezo?

Note: sina tatizo/wivu and the like naye kuajiliwa , but tusiwe vipofu wa kutotoa hoja za kisheria ambazo zimewafukuza vijana wengi seriklini kwa ajili hawana elimu ya kidato cha nne na kuendela.
Okay chamsingi vyombo vya habari, vilivyompaisha, visimwachie njiani ila iwe continues stori hata kwa miaka kumi ijayo ili tujua issue hii imeishia wap!
 
Inawezekana pia wanamtoa nje ya reli,ili asizidi kuongea maana kwa kitendo alichofanya kawavua nguo especially vyombo vya uokoaji nk
Ukiwangalia sekta ya uokoaji bongo
Hawajui mambo mengi,mf first aid kutoa hawajui,CPR hawajui....
Tupotupo tu
Haya mambo inabd watu wafundishwe ikiwezekana kuanzia mashuleni...syo watoto ubongo wao umejaa bongo fleva tu na kukata mauno tu

Ova
Inawezekana, wanataka ku cover kitu, magumashi mengi sana hii nchi
 
Majeshi bado wanaajiri la7 mpaka leo.

Ukitaka uthibitisho zaidi wa haya ninayokueleza, uliza staff wa jeshi kwa kujiridhiaha ukianzia na Jwtz.
Majeshi yana mikondo miwili kuna wanaoajoriwa elimu za darasani na kuna wanaoajoriwa kwa kijipambanua kwa vitu vya ujasiri

Ukienda kikosi cha makomandoo utachuchumaa chini wako hadi ambao hata shule ya msingi hawakumaliza

Na vyeo hupanda mikondo miwili ya elimu na ujasiri

Majeshini sio makaratasi ya vyeti kule ni roho mkononi sasa yeyote waweza kufa ndio maana hakuna bima ya maisha hutolewa kwa wanajeshi
 
Nikukumbushe kidogo tu.
Katibu wa wilaya wa ccm wilaya ya muheza mkoa wa Tanga ni darasa la saba (7).
Kila kitu Tanzania kinawezekana mkuu
Wa mwaka gani? Mbona yule Mmasai wa sasa anaonekana msomi?
 
Uokoaji unahitaji Elimu gani zaidi ya kupata Elimu ya usalama na kuokoa unataka ajue mathematical induction kwenye kwenye kuzima moto badala ya kujua madaraja ya moto na vitu vinavyohusika kuzima moto...Tanzania mnasoma vitu vingi hata msivyovifanyia kazi vinadumaza ubongo wenu tuu...
 
Back
Top Bottom