Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina ashikiliwa kwa mashtaka ya ugaidi

mbona misheni ya kumlipua kikwete haijatimia ? mbona mission ya kuipindua Burundi haijatimia.. anaonea wapuuzi wenzake wa rwanda tu< congo alisumbua sana ila baada ya Tanzania kupeleka majeshi tu chaliii
Embu kumbuka maneno ya Mtikila kuhusu PK kupandikiza majasusi.
Kumlipua Kikwete siokweli ni uzushi tu.
Majeshi ya Tanzania kule Congo ni kwajili ya kulinda amani,Tanzania ni hazina ya amani.
PK anaingia Congo kuwasaka wabaya wake na wauwaji waliokimbilia Congo kama mwenyewe anavyadai,lakini sio Congo tu anawafata popote pale ulimwenguni na mpaka sasa anafanya hivyo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] . endelea kuota
Kajiua yewe mwenyewe! Hakua na mvuto wowe yule au kazi yoyote ya kuisumbua serikali.

Kajiua mwenyewe! Kuwa chochote kwa serikali,ni complex ya kua msani alietengeneza jina na kuharibika mda mfupi. Alijuta na kujiona hana maana tena kwa jamii.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Shida ni kuikosoa serikali ya Rais Kagame.
 
Usinipangie jukwaa. Kagame role model wa timu pinga pinga
WeweNumbisa huku umevamia kambi, kambi yako ni kule kwenye jukwaa la celebrities na lile LA Uhusiano, Urafiki na Mapenzi. Unajua Kagame ni role model wa nani hapa bongo? Uliza hata watoto watakwambia
 
Muulize wewe,ninachojua timu pelekwa upepo mna role model kila kona mara kenyatta,museven na kagame

Corona imewaumbua sana mlikua mnamfagilia huyu jamaa
Sawa dada. Uwe na mchana mwema.
 
Kuna sehemu nimewahi kusoma kuwa wakimbizi wengi wenye hadhi ya Paul uhifadhiwa katika nchi husika kama sehemu ya trade hapo baadaye...means pale linapokuja suala la biashara watu wanakutoa kafara
 
WeweNumbisa huku umevamia kambi, kambi yako ni kule kwenye jukwaa la celebrities na lile LA Uhusiano, Urafiki na Mapenzi. Unajua Kagame ni role model wa nani hapa bongo? Uliza hata watoto watakwambia
Muambie wewe banah! Yaani huku kavamia jukwaa, siyo saizi yake kabisa
 
Kwa shemeji kuna king'amuzi kizuri

shemeji oyee[emoji28][emoji28]
 
Muambie wewe banah! Yaani huku kavamia jukwaa, siyo saizi yake kabisa
Hahahah! Halafu anajisimamia kwelikweli aonekane yupo sahihi, asijue anaendelea kupuyanga.
 
Nakazia
 
Kwa shemeji kuna king'amuzi kuzuri

shemeji oyee[emoji28][emoji28]
Hahah haya ni matunda ya kusikiliza bbcswahili/dw swahili kila asubuhi/jioni kwny karedio ka mchina kenye bluetooth, shemeji alikoniletea kama zawadi sababu ya kumuoshea ndinga lake vzr kila mara mkuuu,hahahah.

Ila daah una kumbukumbu si mchezo.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huwa inafurahisha sana jinsi unavyowachota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…