NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kayumba kazi anayo.Nadhani next target sasa itakua kwa yule aliyekua mkuu wa Majeshi aliyekimbilia S/Africa,nadhani ni 'big fish' aliyebakia akiwasumbua kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayumba kazi anayo.Nadhani next target sasa itakua kwa yule aliyekua mkuu wa Majeshi aliyekimbilia S/Africa,nadhani ni 'big fish' aliyebakia akiwasumbua kichwa.
Atakua anajiandaa kisaikolojia huko aliko.Kayumba kazi anayo.
Embu kumbuka maneno ya Mtikila kuhusu PK kupandikiza majasusi.mbona misheni ya kumlipua kikwete haijatimia ? mbona mission ya kuipindua Burundi haijatimia.. anaonea wapuuzi wenzake wa rwanda tu< congo alisumbua sana ila baada ya Tanzania kupeleka majeshi tu chaliii
Kajiua yewe mwenyewe! Hakua na mvuto wowe yule au kazi yoyote ya kuisumbua serikali.
Kajiua mwenyewe! Kuwa chochote kwa serikali,ni complex ya kua msani alietengeneza jina na kuharibika mda mfupi. Alijuta na kujiona hana maana tena kwa jamii.
WeweNumbisa huku umevamia kambi, kambi yako ni kule kwenye jukwaa la celebrities na lile LA Uhusiano, Urafiki na Mapenzi. Unajua Kagame ni role model wa nani hapa bongo? Uliza hata watoto watakwambiaBado wapinzani wa Tanzania role model wao ni kagame aiseee
WeweNumbisa huku umevamia kambi, kambi yako ni kule kwenye jukwaa la celebrities na lile LA Uhusiano, Urafiki na Mapenzi. Unajua Kagame ni role model wa nani hapa bongo? Uliza hata watoto watakwambia
Muulize magufuli role model wake ni nani, then thank me later.Usinipangie jukwaa. Kagame role model wa timu pinga pinga
Muulize magufuli role model wake ni nani, then thank me later.
Sawa dada. Uwe na mchana mwema.Muulize wewe,ninachojua timu pelekwa upepo mna role model kila kona mara kenyatta,museven na kagame
Corona imewaumbua sana mlikua mnamfagilia huyu jamaa
Sawa dada. Uwe na mchana mwema.
Muambie wewe banah! Yaani huku kavamia jukwaa, siyo saizi yake kabisaWeweNumbisa huku umevamia kambi, kambi yako ni kule kwenye jukwaa la celebrities na lile LA Uhusiano, Urafiki na Mapenzi. Unajua Kagame ni role model wa nani hapa bongo? Uliza hata watoto watakwambia
Kwa shemeji kuna king'amuzi kizuriWanasema huyo jamaa 'wamemteka' akiwa Dubai,kuna video yake nimeiona inapostiwa kule twitter akiongea kwa kiingereza akipongeza mashambulizi yaliyoua watu kadhaa na kuchoma magari yaliyofanywa na kikundi chake huko Rwanda chini ya yule msemaji wao aliyekua anajiita Major Sankara ambae nae 'walimteka' kule Comoro sasa yuko Kigali akiwa na kesi.
So nadhani yule msemaji wake anayejiita Major Sankara ndie atatumika kumchoma huyo jamaa.
Wazungu kule twitter wamechachamaa balaa kwa hasira,naona wanajibiwa kwa kuwekewa hio video jamaa akipongeza kikundi chake kwa mashambulizi hayo,wanakua wapole.
Hahahah! Halafu anajisimamia kwelikweli aonekane yupo sahihi, asijue anaendelea kupuyanga.Muambie wewe banah! Yaani huku kavamia jukwaa, siyo saizi yake kabisa
NakaziaWazungu sometimes don't give the fuc.k about Africans&other races.
Yule Kashogi si aliuwawa ndani ya ubalozi wa uturuki wazungu waliifanya nini Saudi Arabia mpk sasa?
PK ana makando kando kibao lkn ndiye rais pekee anayeenda kupiga lectures huko kwa wazungu Harvard University,Cambridge,King's College etc,kila siku yuko huko Davos na hao hao wazungu na wala hawahaingiki nae.
Wanaweza kuishia kuweka tu hashtags huko twitter ndo nitolee hio.
Inshort,mimi naona wazungu hua wanaangalia maslahi yao tu kama hujawagusa wala hawahangaiki na wewe hata uuee raia wako nchi nzima wanapiga kimya kama hawaoni vile.,gusa maslahi yao sasa ndio utawajua vzr.
Let's wait&see mkuu.
Hahah haya ni matunda ya kusikiliza bbcswahili/dw swahili kila asubuhi/jioni kwny karedio ka mchina kenye bluetooth, shemeji alikoniletea kama zawadi sababu ya kumuoshea ndinga lake vzr kila mara mkuuu,hahahah.Kwa shemeji kuna king'amuzi kuzuri
shemeji oyee[emoji28][emoji28]
Wengine hata siyo maadui, yahani hata Victoire Ingabire naye ni adui eti.Dah!.. serikali ya Kagame haina masihara na maadui wake hata kidogo.
Waangalie tu asije akajinyonga kama Kizito.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahah haya ni matunda ya kusikiliza bbcswahili/dw swahili kila asubuhi/jioni kwny karedio ka mchina kenye bluetooth, shemeji alikoniletea kama zawadi sababu ya kumuoshea ndinga lake vzr kila mara mkuuu,hahahah.
Ila daah una kumbukumbu si mchezo.