Shujaa wa Taifa au alikuwa Kiongozi wa kiimla?

Wewe unaweza kuwaua watoto wako kwa njaa, kwa kisingizio unachanga hela ujenge nyumba. Sasa sijui wakishakufa njaa hiyo nyumba utakaa mwwnyewe? Au utazaa wwngine!?
 
Wewe unaweza kuwaua watoto wako kwa njaa, kwa kisingizio unachanga hela ujenge nyumba. Sasa sijui wakishakufa njaa hiyo nyumba utakaa mwwnyewe? Au utazaa wwngine!?
Utazaa wengine maana watoto bila nyumba ni mateso.
 
JPM hakuwa na mzaha dhidi ya wavuruga amani , majizi, wanaharamu, vibaraka na kwa hilo watanzania tulimpatia baraka zoooote!!!
Sijasikia haya yakitajwa sehemu yoyote ile zaidi ya kusikia kuwa alikuwa eti mtu wa haki, huruma na upendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu ni mwema. Ameingilia lati kukomesha utawala wa Magufuli ili kuokoa nchi dhidi ya roho ya uovu imbayo ilikuwa imeanza kuinuka.

Wewe ni kielelezo cha roho ya uovu ambazo zilikuwa zimeanza kupandwa miongoni mwa watu kupitia propaganda. A brainwashing process was taking its stake!

HAKI HUINUA TAIFA.
 
JPM hakuwa na mzaha dhidi ya wavuruga amani , majizi, wanaharamu, vibaraka na kwa hilo watanzania tulimpatia baraka zoooote!!!
Hadi Sasa hatujui Ile trilioni 1.4 ilikwenda

Assad alihoji akamtoa kinguvu kinyume na matakwa ya katiba .

Kuna majizi wanaoiba kidogo kidogo na Kuna mjizi hupiga kishindo kikuu paaah hela hamna.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni mawazo yangu na kila mtawala ana mazuri na mabaya. Huwezi kutawala ukitaka kwenda mbele na hapo akatokea mtu wa kukushika mkono. Nchi yeyote ambayo imeendelea uliza uambiwe wangapi waliumia kwa faida ya wachache. Angalia Rwanda inavyoyoyoma kimaendeleo lakini PK anafanya yake. Kijana hakuna maendeleo yanayokuja bila mateso. Hata wewe kuna watu wanakulalamikia kwa kutowajali ukanunua smartphone
 
Mkuu na wew ni mnyonge nikufafanulie kwanini bendera zitapepea nusu mlingoti?
 
Kuna Muziki unasema! Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo! Ulivyo na chuki na JPM huwezi Ona au soma mazuri yake. Ni ubinadamu hasa ukiwa mtoto
Kweli mkuu, kama ambavyo mimi naona jiwe alikuwa dikteta na wewe kujiona ni mnyonge wake. Period
 
Wewe na wenzio ni wapuuzi wakubwa....kuulizwa PHD yake kunazuiaje Maendeleo mpaka kumuua Ben...haya sasa masaa machache yajayo anakuwa chakula ya FUNZA....vipi ameenda na hayo mnaita Maendeleo huko kaburini....heshimuni Mungu aliewaleta huku Duniani vyote tulivyonavyo vinapita tu havina mBadala wa uhai wa MTU

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo ya nchi ni miundombinu tu basi. Mengine takataka tupa kule mawazo ya kipuuzi ya Tundu Lissu
 
Ilikuwa halali yake. Wewe hujawahi hata kuregister for a PhD unaulizia PhD ya mtu!
 
Hizo comments ni za kijuha kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…