Shujaa wa Taifa au alikuwa Kiongozi wa kiimla?

Dikteta uchwara is gone, FOREVER!
Propaganda zinaaribu bala letu la Africa..!! Ata Gadaf aliitwa dikteta lakini wananchi wake waliishi vizuri ila ao ambao wakimuita Dikteta hakuna chochote walichofanya kwao...

Wenye uhuru wa kila kitu pale Ufipa wameshindwa ata kujenga ofisi ya chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwatazama wananchi najiskia kulia.
Song by kala jeremiah
 
Ameenda kukutana na Alphonxe Mawazo!
 
Mkuu hili ni bandiko lenye swali kama hakuwa dikteta tupe maelezo.

Ila kuna watu wanadai kuwa chini ya utawala wake ndugu zao walitekwa, waliuliwa na wengine kupotezwa. Hao waseme nini sasa?
Alishufhulika na wajuvi uchwala Kama ilivyo stahili. Kuna wasanii upinzani ndio waliobaki na hakuna wanasiasa huko.
 
Kumlinganisha Magufuli na Moi ni ujinga usio na mfano ambao unakaribiana na upumbavu. Moi aliifilisi Kenya wakati Magufuli aliipaisha Tanzania. Sasa unaelewa mwanangu? Moi alirithi urais wakati Magufuli aliupigania. Moi alikuwa kihiyo wakati Magu alikuwa msomi. Moi alikuwa mshenzi wakati Magu alikuwa mstaarabu kwa kulinganisha. Ni sawa na Kumlinganisha Julius Nyerere na Jomo Kenyatta mwizi wa ardhi wa Kenya.
 
Aswaaaaa uko mlemle
 
Ameshafuiiwa huko huyo mungu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…