Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

Nawaza kwa sauti.. waliookolewa ni 24... wakimchangia hata 1,000,000 dogo anaondoka na 24,000,000.. kwanini wasifanye hivyo kama shukrani?
 
Me myanisamehe kidogo kuuliza hili swali, aliwezaje kufungua huo mlango wa dharula, alienda na vifaa gani kufungulia huo mlango, na mbona mlango unaonekana ni mzima hauja pasuliwa?

Pia kuna theory kwamba abiria wa ndani waliokuwa wakiangaika kujiokoa ndio walifungua huo mlango?

Au labda yy ndio alikuwa wa kwanza kufika ktk eneo hilo na kusaidia baadhi ya abiria waliokwisha Anza kutoka ndio kumempa hiyo advantage ya kuonekana ni mwokozi wa manusura.

Nauliza tu lkn yote kwa yote kama ni kweli yeye ndie aliyefungua huo mlango anastahili pongezi.
 
Uchawi mbaya sana kwa hiyo una muonea wivu kupata kazi ya laki 5
 
Watu wenye akili kama zako ndo mnakulaga mpaka rambirambi
 
Ukisikiliza interview yake utaelewa mengi... zama youtube
 
Zaidi ya kupewa panadol hapo hospitali hakuna lingine zaidi. Atarudi zake kupambama na uvuvi

UPDATE: Kapewa 1m kwa maagizo ya waziri mkuu.
Weka tena update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…