Askofu, huo ndio ukweli, nadhani hilola watoto limeshaeleweka hapa......sasa wamebaki kwenye maana ya familia na nimeshawaelezea lakini kama kawaida watazunguka zunguka tu!
Bado unafanya sampling?
Askofu, huo ndio ukweli, nadhani hilola watoto limeshaeleweka hapa......sasa wamebaki kwenye maana ya familia na nimeshawaelezea lakini kama kawaida watazunguka zunguka tu!
Naomba basi umweleweshe na mhashamu askofu afu tukutane JJ. Naona sasa tunaongea lugha moja.
nimekugongea ka senks kako, kanywee supu
sasa ninyi mnalazimisha nin?????...
watoto sio interest yangu jamani
nipo hapa,nawasoma mchezo tu!....ππ
habari za watoto kwenye ndoa zitaleta matatizo
Senks! eti baba Askofu, tukanywe supu JJ na kamdudu eeh? propoal iyo...manake mjadala naona umefika mwisho huuππ
Bado unafanya sampling?
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANAWaambie kiongozi.
Wengine kabla hawajaoa tayari wana watoto
Mtu anaolewa anaanza kulea kweanza watoto wa wanawake wenzake.
Afu eti watu wanataka uthibitishe urijali wako baada ya kuoa. LOL! Eti wanakupa mwaka wakati kuna watoto wako nasare skuli huko!
Taratibu mhashamu.Hatujalazimisha Geoff, ilikuwa ni elimu ya jamii tu... relax..π
jj hakuna divai... Mdudu?? Kwarezma bwana... "usitutie majaribuni"
Senks! eti baba Askofu, tukanywe supu JJ na kamdudu eeh? propoal iyo...manake mjadala naona umefika mwisho huuππ
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA
Siku hizi hata akina mama nao ni maaskofu mi naomba mwongozo kwa Askofu au Xpin
Niliuliza hilo nikaambiwa askofu ni lazima awe baba. Si babu wala mjomba. Lakini kuna watu kama kina mama Lwakatare ni askofu. Nikakaa kimya ili nisiwekewe malink, si unajua mi mvivu kusoma?