SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Askofu, huo ndio ukweli, nadhani hilola watoto limeshaeleweka hapa......sasa wamebaki kwenye maana ya familia na nimeshawaelezea lakini kama kawaida watazunguka zunguka tu!

nimekugongea ka senks kako, kanywee supu
 
ha! mpwa umeibukia wapi I thot uko kama guest bana😀😀😀
nipo hapa,nawasoma mchezo tu!....😀😀
habari za watoto kwenye ndoa zitaleta matatizo
 
Askofu, huo ndio ukweli, nadhani hilola watoto limeshaeleweka hapa......sasa wamebaki kwenye maana ya familia na nimeshawaelezea lakini kama kawaida watazunguka zunguka tu!

Sasa turudi kwa watoto:
Zaeni muongezeke mkaijaze dunia siyo?
Kwani kupata watoto ni lazima iwe ndani ya ndoa?
 
nipo hapa,nawasoma mchezo tu!....😀😀
habari za watoto kwenye ndoa zitaleta matatizo

Waambie kiongozi.
Wengine kabla hawajaoa tayari wana watoto
Mtu anaolewa anaanza kulea kweanza watoto wa wanawake wenzake.
Afu eti watu wanataka uthibitishe urijali wako baada ya kuoa. LOL! Eti wanakupa mwaka wakati kuna watoto wako nasare skuli huko!
 
Sasa turudi kwa watoto:
Zaeni muongezeke mkaijaze dunia siyo?
Kwani kupata watoto ni lazima iwe ndani ya ndoa?
wape mistari kiongozi wangu wa mila!...it looks like ''wanavikimbia vivuli vyao''
 
Senks! eti baba Askofu, tukanywe supu JJ na kamdudu eeh? propoal iyo...manake mjadala naona umefika mwisho huu😀😀

JJ hakuna Divai... Mdudu?? Kwarezma bwana... "usitutie majaribuni"
 
Bado unafanya sampling?

Bado nipo kwenye upembuzi yakinifu maana wengine kati ya hao 6 nimegundua wananichuna tu. Na kikubwa mm nacho taka kwenye ndoa ni upendo na mapenzi ya dhati.
 
Waambie kiongozi.
Wengine kabla hawajaoa tayari wana watoto
Mtu anaolewa anaanza kulea kweanza watoto wa wanawake wenzake.
Afu eti watu wanataka uthibitishe urijali wako baada ya kuoa. LOL! Eti wanakupa mwaka wakati kuna watoto wako nasare skuli huko!
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA
 
Senks! eti baba Askofu, tukanywe supu JJ na kamdudu eeh? propoal iyo...manake mjadala naona umefika mwisho huu😀😀

Siku hizi hata akina mama nao ni maaskofu mi naomba mwongozo kwa Askofu au Xpin
 
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA

Hicho ndicho kitu hawa binadamu wenzetu hawataki kukisikia. Wengine wanaoa ili wake zao wawalelee watoto waliowapata kwa kudumisha mila. So kupata naye mtoto inakuwa makubaliano baada ya kupata kibali cha MUNGU.
 
Siku hizi hata akina mama nao ni maaskofu mi naomba mwongozo kwa Askofu au Xpin

Niliuliza hilo nikaambiwa askofu ni lazima awe baba. Si babu wala mjomba. Lakini kuna watu kama kina mama Lwakatare ni askofu. Nikakaa kimya ili nisiwekewe malink, si unajua mi mvivu kusoma?
 
Hehehehe lol kumbe yaishe.
Ndo hapo mm nilistuka baada ya kuona baadhi ya madhehebu wana maaskofu akina mama.
 
Back
Top Bottom