Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hehehe jana nilipiga valeur mchana alafu ikayeyuka mpwa zipo feki siku hizi.
Unajua kuna watu hawapendi kuzaa mapema wanapenda wazae baada ya malengo flani kutimia.
dah mpwa itabidi turudi kwenye gongo ama inakuwaje sasa?
exactly mpwa hapo sawa, ndo tutauliza kama malengo yametimia au tuwape mwaka mmoja zaidi😀
wapi baba Askofu!?