Kumbe walikuwa wanakubali kwa ridhaa zao, inawezekana tamaa pia ilihusika japo hawatalielezea hiloMama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini.
1. Msaada wa masikini hauna nguvu kama mchango wa mwenye nacho.Tumefundishwa na tunajua kwamba Tz ilikuwa mstari wa mbele kuondoa ubeberu barani Africa.
Ajabu hivi leo nikigoogle sioni mahali popote panapoelezea mchango wa Tz na JK nyerere katika African Independence Movement hivi ni kwanini mchango wetu hauonekani popote?
So tulikuwa tulalishwa matango pori sie wana TANU yajenga Nchi1. Msaada wa masikini hauna nguvu kama mchango wa mwenye nacho.
2. Mwanzoni nilidhani na niliamini Tanzania ndio ilikua alfa na omega kwenye hili swala la wokozi kwa nchi nyingi za Afrika lakini baada ya kutembea kumbe nchi nyingi sana zilichangia na zilitoa michango mikubwa tu kuwezesha hizo nchi zilizokua zinapigania uhuru kupata uhuru wao. Hapa naweza kusema serikali huamua watu wake wasome nini na nini wasisome kwa wakati upi.
3. Vizazi vinakuja na mazingira na changamoto zao za wakati huo, kizazi cha miaka ya 1995s SA, Namibia Angola au Zimbabwe si rahisi kukuelewa kuhusu Tanzania ila ni rahisi kumuelewa labda mchina mchango wake kwa sasa
Umejibu kiutopolo sana mkuu....Tanzania kuna makambi kibao ya wapigania uhuru nchi mbali mbali za afrika.Sema tu sisi historia ndio inatuhukumu tulikuwa mlengo wa kisosholisti ili hali huyo mkoloni na ambaye ndio ana nguvu mpaka sasa ndiye alikuwa beberu mwenyewe.1. Msaada wa masikini hauna nguvu kama mchango wa mwenye nacho.
2. Mwanzoni nilidhani na niliamini Tanzania ndio ilikua alfa na omega kwenye hili swala la wokozi kwa nchi nyingi za Afrika lakini baada ya kutembea kumbe nchi nyingi sana zilichangia na zilitoa michango mikubwa tu kuwezesha hizo nchi zilizokua zinapigania uhuru kupata uhuru wao. Hapa naweza kusema serikali huamua watu wake wasome nini na nini wasisome kwa wakati upi.
3. Vizazi vinakuja na mazingira na changamoto zao za wakati huo, kizazi cha miaka ya 1995s SA, Namibia Angola au Zimbabwe si rahisi kukuelewa kuhusu Tanzania ila ni rahisi kumuelewa labda mchina mchango wake kwa sasa
Ni kweli ila Jina la Nyerere linajulikana ila kama nchi mmmmm bado maana ni rahisi mtu kujua Jina la Nyerere kuliko nchi, ila ni kweli sio mchango wetu tu ndio uliokomboa hizi nchi nyingi za kusini, kuna factors zilizotia uzito zaidi kuliko mchango1. Msaada wa masikini hauna nguvu kama mchango wa mwenye nacho.
2. Mwanzoni nilidhani na niliamini Tanzania ndio ilikua alfa na omega kwenye hili swala la wokozi kwa nchi nyingi za Afrika lakini baada ya kutembea kumbe nchi nyingi sana zilichangia na zilitoa michango mikubwa tu kuwezesha hizo nchi zilizokua zinapigania uhuru kupata uhuru wao. Hapa naweza kusema serikali huamua watu wake wasome nini na nini wasisome kwa wakati upi.
3. Vizazi vinakuja na mazingira na changamoto zao za wakati huo, kizazi cha miaka ya 1995s SA, Namibia Angola au Zimbabwe si rahisi kukuelewa kuhusu Tanzania ila ni rahisi kumuelewa labda mchina mchango wake kwa sasa
Yawezekana tulipewachumvi nyingi😅😅😅So tulikuwa tulalishwa matango pori sie wana TANU yajenga Nchi
Ungenisaidia ku-highlight wapi nimejibu “kiupotolo”!!!Umejibu kiutopolo sana mkuu....Tanzania kuna makambi kibao ya wapigania uhuru nchi mbali mbali za afrika.Sema tu sisi historia ndio inatuhukumu tulikuwa mlengo wa kisosholisti ili hali huyo mkoloni na ambaye ndio ana nguvu mpaka sasa ndiye alikuwa beberu mwenyewe.
Yes chumvi nyingi mno mkuu, hivi vyama vya ukombozi navyo vilikuwa vya kinyama sana,zanu p ilishot ndege ya kiraia iliyobeba watoto kutoka Victoria falls, anc wameuana sana pale angola etc etcYawezekana tulipewachumvi nyingi😅😅😅