Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Una mke na watoto?
Kesho watakula Nini au Dr am 4 real PhD atakutumia tena?
 
Sinaga uswahili huo, kuna member nilimtumia 40k akanishukuru kwa comment tu nikammind itakuwa uzi? 😹😹😹

Na toka siku hiyo hata akiniambia chochote kinachohusu pesa simpi, nimemuona friji lake haligandishi..!!
Nisamehe mkuu sikujua kama ulichukia hivi
 
Dunia Iko speed wakuu, haishushi njiani ukikaa umejaa, sometimes jitoe ufahamu Rudi home kajipange


Fullstop, kwishaaaa
 
sasa wewe Dr am 4 real PhD 3k ndio ya kufanya uanzishiwe uzi🦅
Mkuu toa laki mpe jamaa apate mtaji...nilikua na mtania TU.

Hakukua na haja ya kuanzisha uzii ila Note.

KWENYE MAISHA NILIWAI KUA KWENYE STATE 3000 NAIONA KAMA MILIONI TATU.

KWAKO ELFU TATU INAWEZA KUWA PESA NDOGO SANA SANAA SANAAAAAA ILA KWA MWINGINE 3000 UNAKUA UMEGUSA MAISHA YAKE KWA SIKU IYOOOO

SO CHUKUA KAMA CHANGAMOTO KUSAIDIANA KWA MTU YOYOTE MWENYEWE UITAJI NA NILITUMA ELFU TATU KWA KUA ALIOMBA ELFU TATU ANGETAJA KIASI KINGINE NINGETUMA PIA.

NB. KWA SISI AMBAO TUMEWAI KUKOSA NAULI NA KULAZIMIKA KUTEMBEA UMBALI MREFU MWENGE_ SEGEREA, MWENGE MBAGALA, KARIAKOO_ MBAGALA, UBUNGO_ KARIAKOO, MIKOCHENI_ KIJICHI, MBANDE_ KARIAKOO TUNAJUA FIKA ELFU TATU SIO NDOGO.

HAPA KINACHO SHUKURIWA NI ILE NIA/ MOYO WA KUSAIDIA NOT ANYTHING ELSE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…