Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
ahaaaa mi wala sitaki bana ..am taken!
Hii nadhani itakuwa ni mojawapo ya surprise za mwaka...Taken wapi! Wacha kuzuga majuto ni mjukuu. Siku si nyingi nitajitokeza kama verified user utajisikia vibaya sana.
Sioni sababu yoyote sasa yakutokuwa verified user maana wengi sasa tunajulikana huku tukitumia id hizi za kujificha. Sasa najiripuwa soon.
ahaaaa am taken kweli! kwani ulidhani nitabaki single milele mi padre au sisterTaken wapi! Wacha kuzuga majuto ni mjukuu. Siku si nyingi nitajitokeza kama verified user utajisikia vibaya sana.
Sioni sababu yoyote sasa yakutokuwa verified user maana wengi sasa tunajulikana huku tukitumia id hizi za kujificha. Sasa najiripuwa soon.
ya mimi kuwa taken au ya matol;a kuwa verified ?Hii nadhani itakuwa ni mojawapo ya surprise za mwaka...
Kwa Malinzi umeshachelewa Kongosho tayari amekaba mpaka penati vekesheni za Uswiss anazdhibiti mwenyewe.
Ni nafasi yako hii usisubili mpaka Matola amuuwe kuwa verified user muanze kugombea vile visima vya gesi.