Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa sura, tabia na historia unaweza kumfikiria Leodgar Tenga kuwa ni mtu wa chuki na visasi? Mimi simuoni hivyo. Jitihada za TFF yake kuainisha udhaifu wa Jamal Malinzi zililenga kweli kwenye kuliokoa soka letu. Bahati mbaya wanahabari uchwara kama kawaida yao wakakejeli jitihada hizo na kumtetea Malinzi mpaka akaukwaa Urais. Haya ndiyo matokeo yake sasa.Huyu Malinzi ndo boya namba moja,huyu ndo kaja kuua mpira wetu,kila ukienda uwanjani mtu unajiandaa kisaikolojia kufungwa tu,tunafungwa na kila timu,poor Malinzi Jamal
Leo anachukulia ni matusi anatoa mapovu wakati alionywa hapa hapa!Tutakuchana vilevile ukiboronga.
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
KakaJambazi jamaa analalamika mnamtukana amesahau kuwa mlimwambia akiboronga mtamchana au hauwaelewa...poor MalinziTutakuchana vilevile ukiboronga.
Nyie ndiyo mnaomtukana baada ya kuwanyima lunch...We Jamal vipi mbona unafanya hivi,unazungukazunguka nini?!,ok.tunashukuru pia kwa shukrani zako lakini unapaswa kwenda mbaali zaidi ya hapa ikibidi tuandalie hata LUNCH kwa sababu kazi tuliyofanya ni kubwa Mno!!
Leo juma 5 mdauNasikia kesho J3 anaaga rasmi,ashaandaa waraka wa kuachia ngazi
Amejaza wahaya wenye upeo na weredi wa SOKA, Jamal Malinzj bhana,sasa ndo namkumbuka Mtinginjore na kamat yake walimchinja huyu jamaaDa jamali malinzi bana
inasemekana umetujaza sisi wahaya TFF sasa nakuomba utuondoe haraka maana ni aibu kwa sisi wahaya..kisha na wewe utoke