Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Halafu ukute lenyewe ni darasa la 7 failure kama Mh. Musukuma!Pingu kanyimwa, kuna mdada kavua wigi wakatumia kama kamba sheme on him, unafunga kamba mtu ana phd kweli? Hapana kabisa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukute lenyewe ni darasa la 7 failure kama Mh. Musukuma!Pingu kanyimwa, kuna mdada kavua wigi wakatumia kama kamba sheme on him, unafunga kamba mtu ana phd kweli? Hapana kabisa,
Acha kuongeza chumvi. Anafanya kazi kama consultant kwenye kampuni ya ulinzi. Halafu hata hivyo elewa kwamba kwenye haya makampuni ya ulinzi wadau wakubwa nyuma yake ni wakubwa kutokea kwenye majeshi.Kuna mdau Leo kanitonya kuwa afande 'kipigo Cha mbwa koko' Ni mlinzi Kama walinzi wengine wanaoshika rungu usiku wakati ndani mke na mume wanakulana.
Mtakumbuka alikua akitoa press conference nyuma yake alikuwepo ADC wa FFU aliyevalia uniform nadhifu na nyumbani kwake alikua na walinzi na Batman.
Kuna maisha baada ya hizi kazi.
Kuna sehemu.imeonekana kwenye hiyo clip akiwa analima?Mimi nimesikia unatufungia njia na magogo, Arrest warranty ni nini vile hebu nikumbushe na hutolewa wakati gani na mamlaka gani?Yaani mtu umkute shambani kwake analima unaanza kumfunga kamba eti unampeleka polisi kivipi? Alikuwa na arrest warranty? Mie sio polisi wangekuja kuchukua miili yao,
Konsaltanti!!Acha kuongeza chumvi. Anafanya kazi kama consultant kwenye kampuni ya ulinzi. Halafu hata hivyo elewa kwamba kwenye haya makampuni ya ulinzi wadau wakubwa nyuma yake ni wakubwa kutokea kwenye majeshi.
Afadhali wewe umesema hujui ni mtu wa wapi.Huyu Wembe ni mjinga sana, ilitakiwa atumie ustaarabu hata kama ana haki si kwa kutumia uhuni na udhalilishaji wa aina hii, nina wasiwasi na pia na huo umiliki wa machimbo ya mchanga kama kaupata kihalali na kwa tabiii hii sidhani kama hata analipa kodi kutokana na uchimbaji huo,na kingine ameharibu barabara hapa inatakiwa mamlaka zifanye kazi yake, kwa jeuri aliyoonyesha sina shaka kwamba huyu jamaa anafanya shughuli zake kimagumashi kwa kuwatishia hao wanakijiji wa kawaida,kama anaonyesha kiburi na jeuri kwa mtu kama Dr Kawambwa na huyo askari mstaafu je kwa mwananchi wa kawaida inakuwaje, yeye Wembe kwa Kawambwa ni ni mtu mdogo sana na ndio maana mzee Kawambwa aliamua kuwasaidia wananchi wenzake, sijui hii jeuri huyu wembe kaitoa wapi, sijui huyu Wembe ni mtu wa wapi! Inabidi atolewe mfano ili liwe fundisho, na nina hakika huyu mhuni huo mgodi ameupata kwa njia za kihuni na halipi kodi au tozo zinazostahili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JPM alikua anatema kitu wazi wazi.Umeongea kweli mpaka JPM alivyokuja Raisi, na kwenda Chalinze, na Mbunge WA Chalinze Rizwani, alipomuomba awapatie maji, Marehemu -Hayati alimwambia Raisi alikuwa Baba yako na waziri wa Maji alikuwa Kwamba na hela ilitoka na mradi ukaliwa Fedha. Na hiyo Barabara ya toka Bunju kwenda Bagamoyo ndio ikajengwa chini ya kiwango
mlinzi mwenye kampuni, kwa mwezi anaingiza si chini ya 50m.Kuna mdau Leo kanitonya kuwa afande 'kipigo Cha mbwa koko' Ni mlinzi Kama walinzi wengine wanaoshika rungu usiku wakati ndani mke na mume wanakulana.
Mtakumbuka alikua akitoa press conference nyuma yake alikuwepo ADC wa FFU aliyevalia uniform nadhifu na nyumbani kwake alikua na walinzi na Batman.
Kuna maisha baada ya hizi kazi.
Mambo hubadilika. Vindu vichenjagaDah Noma sana! Pamoja na bega kuchafuka vile, akipita mji unatetemeka, ;leo Mzee kawa mlinzi?
Mimi nimechukia sana hawezi kuongea na kiongozi mstaafu vile! Huyo kijana yuko wapi nikampige ngumi za uso tatu na ya pua moja. Yaani anataka kumfunga kamba waziri mstaafu!?Haya ndiyo huwa yanasababisha mpaka watu wanatekeleza jinai. Sasa fikria una kipaja cha kuku si unalilipua? Eti linamsukumasukuma na kumtishia kumfunga kamba shenzi kabisa!
Sidhani kama ni kweli. Sema amefungua kampuni ya ulinzi so kaajili watu sio kwamba yeye ndiye anakaa magetini.Kuna mdau Leo kanitonya kuwa afande 'kipigo Cha mbwa koko' Ni mlinzi Kama walinzi wengine wanaoshika rungu usiku wakati ndani mke na mume wanakulana.
Mtakumbuka alikua akitoa press conference nyuma yake alikuwepo ADC wa FFU aliyevalia uniform nadhifu na nyumbani kwake alikua na walinzi na Batman.
Kuna maisha baada ya hizi kazi.
Mkuu wa Kitengo cha ulinzi Kwenye moja ya migodi ya barrick,anakula hela nyingiKuna mdau Leo kanitonya kuwa afande 'kipigo Cha mbwa koko' Ni mlinzi Kama walinzi wengine wanaoshika rungu usiku wakati ndani mke na mume wanakulana.
Mtakumbuka alikua akitoa press conference nyuma yake alikuwepo ADC wa FFU aliyevalia uniform nadhifu na nyumbani kwake alikua na walinzi na Batman.
Kuna maisha baada ya hizi kazi.
alee wajukuu, hao wajukuu hawana wazazi ?kuwa sehemu akilea wajukuu huku akifurahia pension yake.
Mpiga picha mwoga. Ila katolewa nishai 🤣🤣🤣View attachment 2973546
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye udalali/ utapeli wa viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha
Kweli siasa ni nyokooo!!