Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Acha kuongeza chumvi. Anafanya kazi kama consultant kwenye kampuni ya ulinzi. Halafu hata hivyo elewa kwamba kwenye haya makampuni ya ulinzi wadau wakubwa nyuma yake ni wakubwa kutokea kwenye majeshi.
 
Yaani mtu umkute shambani kwake analima unaanza kumfunga kamba eti unampeleka polisi kivipi? Alikuwa na arrest warranty? Mie sio polisi wangekuja kuchukua miili yao,
Kuna sehemu.imeonekana kwenye hiyo clip akiwa analima?Mimi nimesikia unatufungia njia na magogo, Arrest warranty ni nini vile hebu nikumbushe na hutolewa wakati gani na mamlaka gani?
 
Acha kuongeza chumvi. Anafanya kazi kama consultant kwenye kampuni ya ulinzi. Halafu hata hivyo elewa kwamba kwenye haya makampuni ya ulinzi wadau wakubwa nyuma yake ni wakubwa kutokea kwenye majeshi.
Konsaltanti!!
 
Afadhali wewe umesema hujui ni mtu wa wapi.
 
Tatizo watu tunashabikia heading tu badala ya kujiridhisha. Mh Mstaafu Shukuru Kawambwa siyo dalali, narudia tena siyo dalali alichokuwa akifanya ni kutaka kunusuru mazingira kutokana na uharibifu unaotokana na uchimbaji wa mchanga uliokwa ukiendelea kiholela.
 
Yaaan watanzania akili zetu ni ndogo kweli kweli, sijui umasikin umemaliza bongozetu. Mim sijaona kuchoka kwa kawambwa ila nimeona tu ni mtu inawezekana anaishi maisha yake ya kawaida ya kuustafu. Yaan unataka kunambia kawambwa akipiga simu moja hapo haiwafikii wakubwa.

Anavijana wake kibao alishaga waweka kwenye mifumo naamini. Nilichojifunza ni huyo jamaa anaweza jutia vijaziba vyake na kawambwa akawa kaamua kuwa low key.
Hatahivo ni mtazamo wangu kwanyie mnao amin hanapesa endeleen, ila mkumbuke ng'ombe hazeeki maini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JPM alikua anatema kitu wazi wazi.
 
mlinzi mwenye kampuni, kwa mwezi anaingiza si chini ya 50m.
 
Haya ndiyo huwa yanasababisha mpaka watu wanatekeleza jinai. Sasa fikria una kipaja cha kuku si unalilipua? Eti linamsukumasukuma na kumtishia kumfunga kamba shenzi kabisa!
Mimi nimechukia sana hawezi kuongea na kiongozi mstaafu vile! Huyo kijana yuko wapi nikampige ngumi za uso tatu na ya pua moja. Yaani anataka kumfunga kamba waziri mstaafu!?
 
Sidhani kama ni kweli. Sema amefungua kampuni ya ulinzi so kaajili watu sio kwamba yeye ndiye anakaa magetini.
RPC ni cheo kikubwa sana hawezi kufulia kiasi hicho.
Nyingine huwa ni story za changamsha kijiwe tu.
 
Mkuu wa Kitengo cha ulinzi Kwenye moja ya migodi ya barrick,anakula hela nyingi
 
kuwa sehemu akilea wajukuu huku akifurahia pension yake.
alee wajukuu, hao wajukuu hawana wazazi ?

Hivi baba aliyekulea unawezaje kum dampia watoto wako nao awalee, umezaa na baa medi ??????? Acha kukariri misemo ya mitaani, mingine imetungwa na wapika pombe.

Video inaongelea Kawambwa kafunga barabara ambayo imevamiwa na wafanyabiashara, possibly wa mchanga. Wapi wameongelea udalali wa viwanja? Video inasema wanalipa kodi. Dalali wa viwanja analipa kodi?

Yani tunajadili matopiki kuendana na yalivyoanzishwa na mpika pombe labda. Na sisi tunatiririka nayo hivyo hivyo ttttrrrrrr....

Akae afurahie pensheni! hivi Waziri ana pensheni? Again, acha kukariri.
 
Mpiga picha mwoga. Ila katolewa nishai 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…