Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Hili ni funzo kwa wengine.
Wala hajarogwa huyu.
Na wengine wanazidi kufulia vilevile.
Hawakutenda haki katika nafasi zao..
Wanachapika na nguvu ya asili.
 
Mtihani sana mi ndio maana nasema tafuta hela ukiwa kijana ishi maisha ya furaha ukiwa kijana
Hakuna furaha kwenye uzee kwamba una hela au huna hakuna furaha kwenye uzee
Mzee mwenye hela na asie na hela wote wanaumia
Ndiyo unajidanganya hivyo? Nenda Ualaya uone. Hakuna watu wanaoishi maisha mazuri kama wastaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…