Shukuru tu mume wako, bwana wako, boyfriend wako hana hela

Shukuru tu mume wako, bwana wako, boyfriend wako hana hela

Hahaa wewe ishi nako tu hako kitoto kabichi cha 2002 kula mema ya nchi. Au unataka mishangazi?
Heshima ya ndoa kwanza mkuu.

Unaweza kujikita kwa kitoto kikaanza ligi na wife.

Bora mishangazi ina akili
 
Bwanaee kwani wewe mama wa watoto umemkuta bikra?
Nilimwanza mimi tukiwa vijana enzi hizo.

Tukaachana kama miaka 4 hivi, tulivyorudiana ndio ikawa mazima yani.

We have a family ñow.

Kuchepuka ni mpaka nifanye risk assessment 🤣🤣.

Kuna uzi wangu huku wa Michepuko Experience 🤣🤣
 
Back
Top Bottom