Shukuru tu mume wako, bwana wako, boyfriend wako hana hela

Nitag huo uzi kaka

Sema hiyo miaka 4 mliyoachana lazima wahuni waliruka naye 😅 ila si haba ulimzindua mrembo

Yh risk assessment muhimu
 
Hahaha asante kwa ushuhuda Mamy K wanasema firisika tujue tabia ya mkeo...mwanaume akiwa na kibunda utamjua tabia yake
Nashukuru nilimjua tabia yake kuhusu pesa.....now nafanya mambo yangu tu, hata kwenye maombi nimemtoa🤣🤣🤣, Yani wakati mwingine dili zake zikifeli nakuwa napata kiraha flani hiviii....🤣🤣🤣
 
Nashukuru nilimjua tabia yake kuhusu pesa.....now nafanya mambo yangu tu, hata kwenye maombi nimemtoa🤣🤣🤣, Yani wakati mwingine dili zake zikifeli nakuwa napata kiraha flani hiviii....🤣🤣🤣
Duuuh! Hii kali, 🤣🤣🤣

Hizi ndoa hizi Mungu saidia tu

Una maana dili zake zikienda vizuri anazidi kuzichapa nje huko kwa hiyo bora zifeli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…