Shukuru tu mume wako, bwana wako, boyfriend wako hana hela

Duuuh! Hii kali, 🤣🤣🤣

Hizi ndoa hizi Mungu saidia tu

Una maana dili zake zikienda vizuri anazidi kuzichapa nje huko kwa hiyo bora zifeli tu
Sasa ina maana gani kumuombea na kumsupport mtu ambaye yake yakimnyookea anabadilika?
Hata akwame huku Mimi nna pesa huwa namuangalia tu, atasapotiwa huko anakoendaga🤣
 
Kwa hizi comments za humu unamkuta mwanaume anamchinja mwanamke wake kisa katumiwa message na kidume mwengine😂😂😂 nyie wenyewe mnayoyafanya hamyaoni

Hivi aliewaambia nyie peke yenu ndo mna hisia ni nani? Yani nyie mfanye ujinga kwa kujisifu na mna familia ila mchumba ako akinunuliwa gari na mwanaume mwengine unataka kumshikia panga
 
Nature ndo ipo hvo kwa kila mwanaume 😂😂
 
Nature ndo ipo hvo kwa kila mwanaume 😂😂
Nature ndo nini? Mbona hao hao wanaume wenzenu wakija kwenye mawindo yenu mnaua vitoweo.

So mnakubaliana kwamba nature inamruhusu mwanamme kuwa na wanawake wengi, sasa anaangukia kwa mtu wa msukuma kama alieishia kuchinja mchumba ake juzi. We unataka kuniambia yule msukuma alikua hana kamchepuko!? Wanaume kuna shida mahala kwenye vichwa vyenu. Acheni kutetea ujinga you can control your damn selves
 
Tatizo kuna mda unanifokea sasa 😂😂😂
All in all naposema nature namaanisha.....we angalia sio binaadamu tuu hata wanyama wengine wapo hvo hii kitu uwezi kututenganisha nayo..

Kuna mambo hata sisi wanaume hatupendi ila ni forced by nature...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…