Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwenye list hapa naona kanda ya ziwa ndiyo kinara 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi...Nyie wakina nani?
OkayWazazi...
Achilia mbali mbweni hata madarasa ya o level hadi a level ni Kama mabanda ya kufugia nguruweKumbe nawe umepita Anne Marie, hivi yale Mabweni wamejenga mapya?
KUNA SHULE ZA KIISLAM NA SHULE ZA WAISLAMU,Tofautisha hilo.TANZANIA HAKUNA SHULE ZA KIISLAMUHuwa nawaambia waislaam... Hakunaga shule ya kiislaam... Ni shule za wajanja wajanja tu ambao wanaotaka kuteka hisia za waislaam wajinga wakidhani wanaenda kujifunza uislaam... Wanawadanganya kwa mavazi ya kiislaam majalbiib... Wakati mavazi kama hayo yapo hata shule za serikali... Huo uislaam wenyewe unafundishwa kwa kuonja na wala haupewi kipaumbele.
Sasa ona hiyo AL HIKMA ya SHEIKH NURDEEN KISHKI... imefungiwa kwa udangangifu... (they always try to do so kunyanyua ufaulu waweze kujitangaza na kupandisha ada) alafu baadae wanageuka ETI WAISLAAM TUNAONEWA KWENYE MATOKEO... WAPUMBAVU WAKUBWA.
Nyingine ni hiyo JAMIA...
NINGEKUWA RAIS NINGEKATAZA KUITA SHULE KUINASIBISHA NA DINI... ETI ISLAMIC... NI UHUNI NA UTAPELI TU...

Karne hii, Ukifaulisha darasa la 7 ndo unapata nn Sasa?Elimu ya bongo, janja janja nyingi sana
Kanda ya ziwa kwenye suala la mitihani ya kitaifa kuanzia mwaka 2016hadi sasa kuna matatizo.Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.
Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu ikiwemo ya Musabe ya jijini Mwanza na St Anne Marie ya jijini Dar es Salaam na shule ya Rweikiza ya mkoani Kagera.
Hayo yameleezwa leo Desemba Mosi na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athuman Amasi wakati akitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2022.
Akizitaja shule hizo ni Kadama shule ya msingi iliyopo Chato- Geita, Rweikiza (Bukoba), Kilimanjaro shule ya msingi (Arusha) Sahare (Tanga), Ukerewe (Mwanza), Peaceland (Mwanza), Karume (Kagera), Al-hikma (Dar es Salaam)
Nyingine ni Kazoba (Kagera), Mugini (Mwanza), Busara (Mwanza), Jamia (kagera), Winners (Mwanza), Musabe (Mwanza), Elisabene (Songwe), High Challenge (Arusha), Tumaini (Mwanza), Olele (Mwanza), Mustlead (Pwani).
Pia zipo shule za Moregas (Mara), Leaders (Mara), Kivulini (Mwanza) na St Severine (Kagera).
“Vituo hivi vimefungiwa kwa mujibu wa kifungu 4(8) cha kanuni za mitihani mwaka 2016 hadi hapo Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshaji wa mitihani ya kitaifa,” amesema.
Mtihani huo wa kumaliza elimu ya msingi ulihusisha watahiniwa zaidi ya 1.38 milioni nchi nzima.
Punguza chuki maalim,Huwa nawaambia waislaam... Hakunaga shule ya kiislaam... Ni shule za wajanja wajanja tu ambao wanaotaka kuteka hisia za waislaam wajinga wakidhani wanaenda kujifunza uislaam... Wanawadanganya kwa mavazi ya kiislaam majalbiib... Wakati mavazi kama hayo yapo hata shule za serikali... Huo uislaam wenyewe unafundishwa kwa kuonja na wala haupewi kipaumbele.
Sasa ona hiyo AL HIKMA ya SHEIKH NURDEEN KISHKI... imefungiwa kwa udangangifu... (they always try to do so kunyanyua ufaulu waweze kujitangaza na kupandisha ada) alafu baadae wanageuka ETI WAISLAAM TUNAONEWA KWENYE MATOKEO... WAPUMBAVU WAKUBWA.
Nyingine ni hiyo JAMIA...
NINGEKUWA RAIS NINGEKATAZA KUITA SHULE KUINASIBISHA NA DINI... ETI ISLAMIC... NI UHUNI NA UTAPELI TU...
Usitaje jina la mtu, habari imetaja majina ya shulePunguza chuki maalim,
Mwanza kwa bwana yule na chifu inaongoza kwa udanganyifu.Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.
Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu ikiwemo ya Musabe ya jijini Mwanza na St Anne Marie ya jijini Dar es Salaam na shule ya Rweikiza ya mkoani Kagera.
Hayo yameleezwa leo Desemba Mosi na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athuman Amasi wakati akitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2022.
Akizitaja shule hizo ni Kadama shule ya msingi iliyopo Chato- Geita, Rweikiza (Bukoba), Kilimanjaro shule ya msingi (Arusha) Sahare (Tanga), Ukerewe (Mwanza), Peaceland (Mwanza), Karume (Kagera), Al-hikma (Dar es Salaam)
Nyingine ni Kazoba (Kagera), Mugini (Mwanza), Busara (Mwanza), Jamia (kagera), Winners (Mwanza), Musabe (Mwanza), Elisabene (Songwe), High Challenge (Arusha), Tumaini (Mwanza), Olele (Mwanza), Mustlead (Pwani).
Pia zipo shule za Moregas (Mara), Leaders (Mara), Kivulini (Mwanza) na St Severine (Kagera).
“Vituo hivi vimefungiwa kwa mujibu wa kifungu 4(8) cha kanuni za mitihani mwaka 2016 hadi hapo Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshaji wa mitihani ya kitaifa,” amesema.
Mtihani huo wa kumaliza elimu ya msingi ulihusisha watahiniwa zaidi ya 1.38 milioni nchi nzima.
Hawa watoto wa watu wanapelekwa wapi?Too bad waathirika wakuu ni watoto wadogo wasio na hatia
Ndio kimbilio ndugu, hapa watakuja Waislamu wa mbagala na magomeni kukuambia Waislamu tunaonewa angalia tunafutiwa vituo, mpumbafu akifanya umbufafu hata awe anatoka dini gani lazima awajibishwe.Huwa nawaambia waislaam... Hakunaga shule ya kiislaam... Ni shule za wajanja wajanja tu ambao wanaotaka kuteka hisia za waislaam wajinga wakidhani wanaenda kujifunza uislaam... Wanawadanganya kwa mavazi ya kiislaam majalbiib... Wakati mavazi kama hayo yapo hata shule za serikali... Huo uislaam wenyewe unafundishwa kwa kuonja na wala haupewi kipaumbele.
Sasa ona hiyo AL HIKMA ya SHEIKH NURDEEN KISHKI... imefungiwa kwa udangangifu... (they always try to do so kunyanyua ufaulu waweze kujitangaza na kupandisha ada) alafu baadae wanageuka ETI WAISLAAM TUNAONEWA KWENYE MATOKEO... WAPUMBAVU WAKUBWA.
Nyingine ni hiyo JAMIA...
NINGEKUWA RAIS NINGEKATAZA KUITA SHULE KUINASIBISHA NA DINI... ETI ISLAMIC... NI UHUNI NA UTAPELI TU...
Kwa hiyo Mkuu ulionyeshwa paper.Nimesoma pale najua Kila kitu kuhusu pale Kuanzia primary up to Advance ..... Acha nicheke TU😂 ...Mzee Kanasa
Ngoja tusikie tamko la serikaliHawa watoto wa watu wanapelekwa wapi?
So wamefutiwa kuwa kituo!? na watoto wamefutiwa matokeo au yamekuwa withheld tuuNdio kimbilio ndugu, hapa watakuja Waislamu wa mbagala na magomeni kukuambia Waislamu tunaonewa angalia tunafutiwa vituo, mpumbafu akifanya umbufafu hata awe anatoka dini gani lazima awajibishwe.
Imenikera sana hii kitu aiseeNgoja tusikie tamko la serikali