Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

Kwa hivyo hatima ya wanafunzi wa shule zilizofungiwa na kushikiliwa matokeo itakuwaje?
Watarudia mitihani?
Watapewa muda gani kujiandaa na mitihani?
Kuchaguliwa shule za sekondari nafasi zao zitakuwaje?
Hii inaleta usumbufu sana kwa wazazi na wanafunzi ambao hawahusishwi katika kupanga kufanya udanganyifu.
Wakirudi shule gharama atabeba nani?
Je serikali itawasaidia wazazi wasibebeshwe mzigo wa gharama za ziada?
 
Kumbe nawe umepita Anne Marie, hivi yale Mabweni wamejenga mapya?
Achilia mbali mbweni hata madarasa ya o level hadi a level ni Kama mabanda ya kufugia nguruwe

USSR
 
Ku KUNA SHULE ZA KIISLAM NA SHULE ZA WAISLAMU,Tofautisha hilo.TANZANIA HAKUNA SHULE ZA KIISLAMU
 
Ku KUNA SHULE ZA KIISLAM NA SHULE ZA WAISLAMU,Tofautisha hilo.TANZANIA HAKUNA SHULE ZA KIISLAMU
 
Kanda ya ziwa kwenye suala la mitihani ya kitaifa kuanzia mwaka 2016hadi sasa kuna matatizo.
 
Punguza chuki maalim,
 
Mwanza kwa bwana yule na chifu inaongoza kwa udanganyifu.
 
Ndio kimbilio ndugu, hapa watakuja Waislamu wa mbagala na magomeni kukuambia Waislamu tunaonewa angalia tunafutiwa vituo, mpumbafu akifanya umbufafu hata awe anatoka dini gani lazima awajibishwe.
 
Nimesoma pale najua Kila kitu kuhusu pale Kuanzia primary up to Advance ..... Acha nicheke TUπŸ˜‚ ...Mzee Kanasa
Kwa hiyo Mkuu ulionyeshwa paper.

Huoni dhambi inawahusu nyote nyie watu wangedhibiti hii hali watoto wa watu Leo wasingewekwa kwenye sintofahamu. Mtoto siku zote Hali yake kubwa ni kuongozwa na kuendelezwa. Hii ni sahihi kweli
 
Ndio kimbilio ndugu, hapa watakuja Waislamu wa mbagala na magomeni kukuambia Waislamu tunaonewa angalia tunafutiwa vituo, mpumbafu akifanya umbufafu hata awe anatoka dini gani lazima awajibishwe.
So wamefutiwa kuwa kituo!? na watoto wamefutiwa matokeo au yamekuwa withheld tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…