Hivi hawa watoto laiti wangejua jinsi gani tunavyopata shida ya kutafuta pesa kwa ajili yao halafu wanakwenda shule kuleta ujinga badala ya kusoma wanakera sana. Wanajua fika hiyo ilikuwa ni shule ya mission na ilijengwa na wakatoliki wanachotaka ni elimu ama msikiti????
Kama wanakwenda kusoma wakae wasome na kama wanafuata miskiti na makanisa basi warudishwe wakashindi miskitini na makanisani waaache wale wanaohitaji kusoma.
Wazazi tunajinyima sababu yao wapate elimu kwa manufaa yao wanaleta upuzi walimu fanyeni kazi yenu charaza wote bakora inaumma sana kwakweli kama kunaninaye mkwaza anisamehee ila sipedi migomo ya kijinga :embarassed2:
I love JF... Na siku zamu itakaponifikia ndiyo utakuwa mwisho wa zamu...Unavyosomeka wewe unaweza kudai nyumbani kwako haki ya ubaba iwe kwa zamu, leo wewe, wiki ijayo zamu ya mwanao mkubwa, baada ya wiki jirani yako umezeeka kweli we mzee
Mhhh jamani nimesoma Pugu High School ambapo ni Makao Makuu ya Roman Catholic Dayosisi ya Pwani, lakini tulikuwa na chumba cha kusalia, na mara baada ya idadi yawanafunzi wa kiislamu kuongezeka tukapewa eneo la kujenga Mosque.Kwa nini iliwezekana Pugu ishindikane Ndanda??? Kumbuka kwa kijana wa kiislamu kusoma kwake ni sehemu ya Ibada kama ilivyo kusali. Na iwapo kimoja kikikosekana basi unakuwa umemlazimisha afanye ibada yake nusunusu. Ushauri wangu kwa mkuu wa shule Ndanda, please hebu wape sehemu japo wafunge makuti waweze kumsujudia mola wao.
Msamehe mwenzio 7x70... Acha JINO KWA JINOtafakari
How is this relevant? hata kama wote ni wakristo na mwalimu mkuu awe mwislamu or vice versa tatizo liko wapi?Jee shule hiyo ina wanafunzi wakristo na waislam wangapi?hilo ndilo suala la msingi
Sure!
Haya mambo ya aibu hivi yamezaliwa lini?
good
JK at work
JK is founder of this hatari!!
How...?Source wa haya yote ni KIKWETE.
Sio waTz, sema waisilamu wanafikiria kwa kutumia nini? Hivi dini ya kaka mkuu nayo izungumzwe kwenye katiba?...hivi watz tunafikiria kwa kutumia nini?
Kudai uswa ni jambo la muhimu sana.
Wangetokea watu mia nane wenye ufikiri mbovu kama wako basi dini flani ingeandamana kumpinga JK na makamu wake hapa TZ.mimi sijaona kosa hao watoto kudai usawa! mara ngapi humu JF ikiwekwa list ya viongozi yakizini majina ya waislamu 3 mnaanza kuhoiji udini.!!
sasa hapo shuleni kama kaka mkuu na viranja wote wakristo! sijui kama kutakuwa na usawa wowote! vijana walikuwa na kila haki ya kugoma..
Nadhani akili zao zinawaza advantages kwenye line ya msosi(top layer), maana kwa kula wale!Kwa iyo na sisi wakristu tuandamane kwa kuwa RAISI NA MAKAMU WAKE WAISLAMU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huo mfano wakiuelewa nadhani watajiona wapumbavu sana.
Ivi HP akiwa mwisalamu au mkristu ina impact yoyote kwenye accademic?
JK ndo anapaswa kutupiwa ilo zigo maana ndo analielewa zaidi