Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,919
- 2,843
Ktk kukabiliana na janga la ukata kwa walimu shule binafsi baada ya kufunga shule kuepuka corona, baadhi ya shule binafsi zimekuja na mikakati tofautitofauti ili kuwezesha kuwa husisha wazazi wa watoto waendelee kulipa ada hata ktk kipindi hiki ambapo shule zimefungwa!
Njia hizo ni pamoja na kupeleka kazi na mazoezi ya watoto kwa wazazi kwa njia ya mtandao ili waendeee kuwa'keep busy' watoto wao na wazazi kwa upande wao waone umuhimu wa kulipa ada ili maisha ya walimu na wafanyakazi wa shule hizi yaendelee!
Shule zinawataka wazazi wapeleke madaftari ya watoto wao shuleni ili yasahihishwe na kisha warejeshewe wstoto wao ili waendelee na mazoezi mengine!
Naomba maoni yako ktk hili!