Shule binafsi zarejesha masomo kwa mgongo wa nyuma, zadai ada kwa wazazi

Shule binafsi zarejesha masomo kwa mgongo wa nyuma, zadai ada kwa wazazi

Kwahiyo umegoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kugoma nini tena? Au unamaanisha kupeleka madaftari? Mimi sina mtoto kwenye shule hizo! Jamaa yangu kanipigia akitaka ushauri juu ya cha kufanya baada ya kutokea sintofahamu kwenye discussion za wazazi na walimu hasa juu ya matumizi ya madaftari kuyapeleka shule na kuyarudisha home!
Ila ningekuwa mimi na mtoto kwenye shule hizo, ningetumia njia mbadaka! Daftari isingerudi home baada ya kutoka shule! Siwezi chezea kamari maisha ya mwanangu kirahisi hivyo!
 
My mistake, naomba mnisamehe! Mtoto ataishi kwa neema ya Mungu!
 
Labda ndo makubaliano yao si tunataka watoto wasome tu aiseee lipa Ada Kama ELIMU Ni ghali jaribu upande wa pili kwenye dezo
 
Wajinga sana.

Bila aibu kamama ma1 kanipigia simu na kuniambia nilipie awamu ya pili ya malipo ya school feez ya mwanangu ili walimu walipwe mishahara. ***** nani ana uhakika wa kuishi kwa corona hii. Bahati mbaya mwanangu amefariki watanirefund pesa yangu?

Jinga sana hawa watu. Waingie bank wakope wawalipe walimu mishahara yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipie mwanao hafi mpaka 70+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shule za bweni ambazo watoto wanatoka nje ya mkoa au wilaya.
Huoni kwamba hii italeta changamoto nyingine mpya?
Shule za namna hizo zinapaswa kuwasiliana na wazazi wote na kuwatumia packages za mitihani kwa njia ya mail or Whatsapp watoto wafanye then zitumwe shuleni.
 
Back
Top Bottom