goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,412
- 2,359
Kwa maana hiyo hujui kama corona inaua? Au kuamini ni mpaka uone makovu ya yesuNa wewe Nyumbigwa unatoa mfano gani huu? Wacha hizo wewe!
Hali za mwalimu ktk sekta binafsi ni ngumu
Ktk kukabiliana na janga la ukata kwa walimu shule binafsi baada ya kufunga shule kuepuka corona, baadhi ya shule binafsi zimekuja na mikakati tofautitofauti ili kuwezesha kuwa husisha wazazi wa watoto waendelee kulipa ada hata ktk kipindi hiki ambapo shule zimefungwa!
Njia hizo ni pamoja na kupeleka kazi na mazoezi ya watoto kwa wazazi kwa njia ya mtandao ili waendeee kuwa'keep busy' watoto wao na wazazi kwa upande wao waone umuhimu wa kulipa ada ili maisha ya walimu na wafanyakazi wa shule hizi yaendelee!
Shule zinawataka wazazi wapeleke madaftari ya watoto wao shuleni ili yasahihishwe na kisha warejeshewe wstoto wao ili waendelee na mazoezi mengine!
Naomba maoni yako ktk hili!
Mfano shule iko dar mtoto yuko mwanza ayatume madaftari kwa njis gani?
Binafsi, nilimshauri jamaa yangu akiyapeleka madaftari shule asiyarudishe home kwa watoto wake! Walimu wapo 'desperate', wao wanawaza tu jinsi ya kupata angalau msharahara ili wajikimu! Corona wameisahau kidogo!Hapo kwenye kusahihisha na kurudisha ndio kuambukizana Korona.
Hakuna atakayekuwa salama hapo .
Mwalimu mwenye Korona lanasahihisha daftari za wanafunzi 100 na kuwarudishia daftari na wanafunzi 100 lutoka maeneo mbalimbali wanakusanya daftari kwenda kwa mwalimu.
Sasa baadhi ya watoto wamekwenda kijijini kwa bibi yao kakonko watarudishaje daftari kwa mwalimu?
Sent using Jamii Forums mobile app