TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Pamoja na mambo mengine,ila mleta mada kaongea kitu cha msingiHalafu hizo package zenyewe tunalipia Sisi wazazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na mambo mengine,ila mleta mada kaongea kitu cha msingiHalafu hizo package zenyewe tunalipia Sisi wazazi.
Mbona miaka ya nyuma enzi zetu kulikuwa hamna uho ujinga na wanafunzi walikuwa wanafaulu vizuri tu.Kabisa! naunga mkono hoja.
Inasemekana hizo "home packages" ni za kutengeneza fedha.
Mtoto asipofanya mzazi anatozwa fedha na hiyo fedha wanakwambia ndiyo fidia kwa mwalimu atakayemfundisha masomo ambayo hakufanya.
Mkuu hata mimi nashangaa! Na tulikuwa tunafaulu vizuri tu.Mbona miaka ya nyuma enzi zetu kulikuwa hamna uho ujinga na wanafunzi walikuwa wanafaulu vizuri tu.
kwakweli inakera sanaMkuu hata mimi nashangaa! Na tulikuwa tunafaulu vizuri tu.
Hizi holiday programs huwa ni optional, kama unaziona kero ni kumkataza tu mototo wako wala usipate tabuImekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo zingeachwa huru ili watoto wawe huru kuwasaidia wazazi wao kazi za nyumbani au kusafiri kwenda kuwasalimia bibi zao huko vijijini ili wafahamu asili yao na pia kujumuika na ndugu zao wengine.
Tungeomba Serikali ilitazame hili jambo na ikiwezekana itoe mwongozo kuhusiana na jili jambo. Tusiwafanye watoto wetu kuwa kama ndondocha, kuna maarifa mengine ambayo watoto wanayahitaji zaidi ya hesabu, fizikia na jiorafia.
Naomba kuwasilisha.
Wahamishieni kayumba, huwezi kukutana na hizi keroNi kweli kabisa.
Hii inatokana na walimu wa shule hizo kuwa wavivu kumaliza syllabus.
Kingine ni kwamba ma director wa shule pia huchelelewa kuwalipa walimmu mishahara au kutowalipa kabisa na hivyo walimu hawafundishi.
Wanakuja kukurupuka mwezi wa 5 umekaribia na ndiyo matokeo yake wanaleta hizi HOLIDAY PACKAGE.
Serikali iingilie kati hili suala maana madirector wanaadhbu mtu asiyetoa HOLIDAY PACKAGE
if that is a case,what is the meaning of Holiday?Hizi holiday programs huwa ni optional, kama unaziona kero ni kumkataza tu mototo wako wala usipate tabu
Holiday package ni sawa tu homework, mtoto hawezi kukaa mwezi mzima nyumbani bila hata kufanya revision ya yale aliyoyasoma shuleni, its a way of keeping them active during holidays
Hiyo kweli kabisaUbongo unahitaji mapumziko ili ufanye tafakari na organization of knowledge, madhara yake ndio hawa wasomi wenu wa bongo mnawaita 'hawezi kuconnect dots'. Hakikisha mtoto anapumzika na kusocialize wakati wa likizo sana hawa wa private school wanawaoverload sana kwenye ubongo
Uzi Bora wa mwakaImekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo zingeachwa huru ili watoto wawe huru kuwasaidia wazazi wao kazi za nyumbani au kusafiri kwenda kuwasalimia bibi zao huko vijijini ili wafahamu asili yao na pia kujumuika na ndugu zao wengine.
Tungeomba Serikali ilitazame hili jambo na ikiwezekana itoe mwongozo kuhusiana na jili jambo. Tusiwafanye watoto wetu kuwa kama ndondocha, kuna maarifa mengine ambayo watoto wanayahitaji zaidi ya hesabu, fizikia na jiorafia.
Naomba kuwasilisha.
Holiday packages na ni kwa hz vi english medium uchwara tu
Kwa hiyo?Mtoo wangu anasoma Kennedy House mtaala ni wa Cambridge.
Mtoto anaweza akakaa nyumban maez mzima bill hzo homeworkHizi holiday programs huwa ni optional, kama unaziona kero ni kumkataza tu mototo wako wala usipate tabu
Holiday package ni sawa tu homework, mtoto hawezi kukaa mwezi mzima nyumbani bila hata kufanya revision ya yale aliyoyasoma shuleni, its a way of keeping them active during holidays
Kwel kbs mkuuKuna kitu kinaitwa kupumzika au kutuliza akili ndomana walitengeneza kalenda kuwa Kuna muda akili inatakiwa ifikirie vitu vingine ili ukirudi kwenye Jambo la msingi akili inakuwa active na concentration inakuwa Bora zaidi.
Muda huu watoto walitakiwa kupumzika na kufikiria watarudije term ijayo haijalishi n darasa la mtiani au lah,
Hawa walimu Kama sio Giza watoto wangekuwa wanashinda darasani usiku na mchana
Madogo wanapewa miswali kibaoZiko mpaka sekondari, tena huko ndiko zinsongoza.
Kweli kabisa mtoto anashindwa hata kufundishwa vitu vya nyumbani alaf akiharibikiwa wanaanza kusema oooohh wazazi nyonyonyoooooooi nyoonyooooooo nyooooooImekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo zingeachwa huru ili watoto wawe huru kuwasaidia wazazi wao kazi za nyumbani au kusafiri kwenda kuwasalimia bibi zao huko vijijini ili wafahamu asili yao na pia kujumuika na ndugu zao wengine.
Tungeomba Serikali ilitazame hili jambo na ikiwezekana itoe mwongozo kuhusiana na jili jambo. Tusiwafanye watoto wetu kuwa kama ndondocha, kuna maarifa mengine ambayo watoto wanayahitaji zaidi ya hesabu, fizikia na jiorafia.
Naomba kuwasilisha.
Hujui kitu kwenye haya mambo wewe. Kwanza, kiherehere cha nini kumpeleka mtoto wako huko? Si umpeleke shule za Serikali? Mizazi mingine bwana!!!Ni kweli kabisa.
Hii inatokana na walimu wa shule hizo kuwa wavivu kumaliza syllabus.
Kingine ni kwamba ma director wa shule pia huchelelewa kuwalipa walimmu mishahara au kutowalipa kabisa na hivyo walimu hawafundishi.
Wanakuja kukurupuka mwezi wa 5 umekaribia na ndiyo matokeo yake wanaleta hizi HOLIDAY PACKAGE.
Serikali iingilie kati hili suala maana madirector wanaadhbu mtu asiyetoa HOLIDAY PACKAGE
Anzisha shule yako hayo mambo usiyaweke!Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo zingeachwa huru ili watoto wawe huru kuwasaidia wazazi wao kazi za nyumbani au kusafiri kwenda kuwasalimia bibi zao huko vijijini ili wafahamu asili yao na pia kujumuika na ndugu zao wengine.
Tungeomba Serikali ilitazame hili jambo na ikiwezekana itoe mwongozo kuhusiana na jili jambo. Tusiwafanye watoto wetu kuwa kama ndondocha, kuna maarifa mengine ambayo watoto wanayahitaji zaidi ya hesabu, fizikia na jiorafia.
Naomba kuwasilisha.
Hujui kitu kwenye haya mambo wewe. Kwanza, kiherehere cha nini kumpeleka mtoto wako huko? Si umpeleke shule za Serikali? Mizazi mingine bwana!!!