Shule Binafsi ziheshimu likizo za watoto wetu

Kabisa! naunga mkono hoja.
Inasemekana hizo "home packages" ni za kutengeneza fedha.
Mtoto asipofanya mzazi anatozwa fedha na hiyo fedha wanakwambia ndiyo fidia kwa mwalimu atakayemfundisha masomo ambayo hakufanya.
Mbona miaka ya nyuma enzi zetu kulikuwa hamna uho ujinga na wanafunzi walikuwa wanafaulu vizuri tu.
 
Hizi holiday programs huwa ni optional, kama unaziona kero ni kumkataza tu mototo wako wala usipate tabu

Holiday package ni sawa tu homework, mtoto hawezi kukaa mwezi mzima nyumbani bila hata kufanya revision ya yale aliyoyasoma shuleni, its a way of keeping them active during holidays
 
Wahamishieni kayumba, huwezi kukutana na hizi kero
 
if that is a case,what is the meaning of Holiday?
 
Hiyo kweli kabisa
 
Uzi Bora wa mwaka
Sina Cha kuongeza imeeleweka
Serikali chukue hatua kuhusu hili
 
Mtoto anaweza akakaa nyumban maez mzima bill hzo homework
Hzo homework zenyeww ni theory tu
Wakati was likizo mtoto afanye practical works sio Kila muda akae na makaratas tu
Michezo mbalimbali inakuza uwezo was mtoto kufikiri na vipaji
Kazi za nyumban nk
Hata mtu mzima ana likizo ya 28 days kazin itakuwa mtoto?
Ubongo was binadamu unahiitaji kupumzika iuweze kupokea zaidi
Ndio maana tumekosa kizaz chenye udadisi
 
Kwel kbs mkuu
 
Kweli kabisa mtoto anashindwa hata kufundishwa vitu vya nyumbani alaf akiharibikiwa wanaanza kusema oooohh wazazi nyonyonyoooooooi nyoonyooooooo nyoooooo
 
Mimi wanasema eti hawafungi bado kuna mambo wana cover eti ,halafu ni Nursery just imagine. Mi nimegoma nimesema atabaki home ,yaan nursery kwel hata primary hajaanza uniambie kuna viti hawaja cover ,sa akifika primary/secondary watakua ata mapumziko hawatoki.
 
Hujui kitu kwenye haya mambo wewe. Kwanza, kiherehere cha nini kumpeleka mtoto wako huko? Si umpeleke shule za Serikali? Mizazi mingine bwana!!!
 
Anzisha shule yako hayo mambo usiyaweke!

Wazazi ni vichwa ngumu sana, kesho mwanao akifeli lawama kwa shule
akipewa shughuli za masomo ili afahulu vizuri napo maneno
 
Acha uvivu mwalimu,
Tumia muda wako shuleni kumfundisha mtoto, umeajiriwa na kulipwa kwa muda huo.

Wewe ndiye hujui Scheme of work pamoja na Lesson Planning.

Pambaffffff.

Hujui kitu kwenye haya mambo wewe. Kwanza, kiherehere cha nini kumpeleka mtoto wako huko? Si umpeleke shule za Serikali? Mizazi mingine bwana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…