Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

Tatizo la hizi shule za Dar
A. Mazingira ya wanafunzi kusoma * muda* changamoto ya usafri
2. Mwanafunzi hapati utulivu wa akili muda mwingi kwenye magari.
3. Idadi ya wanafunzi ni wengi kuliko rasilimali wezeshi. Madarasa, walimu, n.k

4. Shule hizi walimu wao wengi ni wanawake tena wake wa viongozi wakubwa serikalini. Matokeo yake wapo bize kukaa na kusodoa kupiga majungu na kucheza vikoba .hawafanyi kazi na hawana muda wa kufatilia mwanafunzi. Hili ni tatizo kubwa sana. Hakuna wa kuwaonya wewe mkuu wa shule itamzingua mke wa boss wako? We thubutu.

Nb: hizi shule naona tu wanafunzi huwa wanakwenda kukua ns kucheza singeli tu.

Akili iliyotengeneza tatizo haiwezi kutatua tatizo
 
Wamenisikitisha hao wa mchikichini sekondari, hapo mchikichini walimu wazuri wengi wanafundisha tuition hapo hapo.
 
kuna shule nyingi sana Dsm zimepasua fresh, hizo zilizowekwa zimeangukia kuti kavu
Ukichunguza wafanyakazi wenye kipato cha wastani wa juu , Wana wakimbizia watoto wao mikoani kusoma, hawataki kabisa wazoee tabia za kiswahili za hapa Dar
 
Ukichunguza wafanyakazi wenye kipato cha wastani wa juu , Wana wakimbizia watoto wao mikoani kusoma, hawataki kabisa wazoee tabia za kiswahili za hapa Dar
kuna shule nyingi sana za DSM zimepasua fresh tu, ukiwa na vijisenti mtoto unamsomesha Dsm bila tatizo

BRIGHT FUTURE
RISING STAR
ST. ANTHONY
CANOSSA
YOHANNES
HELASITA
REHEMA WAKFU
FEZA
HERMON BOYS
GLOBAL MISSION
ST. AUGUSTINE TAGASTE
ST. JOSEPH MILLENIUM
AL-HIKMA GIRLS
GHOMME
GREENLIGHT
THOMAS MORE MACHRINA
HELLEN'S
ST. MAXIMILLIAN
ASSURANCE
BARBRO-JOHANSSON
CHANG'OMBE
 
Mkuu kama kiongozi mkubwa anapewa airtime kwenye media kuponda wasomi kisa yeye ana pesa mingi tutarajie nini? Ukikemea unashambuliwa kila kona kuwa una chuki binafsi kwa std seven wenye hela. Waalimu wamekuwa wakifedheheshwa hata na waokota makopo.
Hatari

Ova
 
Watoto masaa 24 wanaimba singeli ,wanakariri mziki
Muda wote wanafatiliaa matamthiliya kwenye TV
Mitoto kutwa kukataaa maunoo
Wanaishiaa kugongana tu shnz typ... watafaulu vp

Ova
 
Back
Top Bottom