Tatizo la hizi shule za Dar
A. Mazingira ya wanafunzi kusoma * muda* changamoto ya usafri
2. Mwanafunzi hapati utulivu wa akili muda mwingi kwenye magari.
3. Idadi ya wanafunzi ni wengi kuliko rasilimali wezeshi. Madarasa, walimu, n.k
4. Shule hizi walimu wao wengi ni wanawake tena wake wa viongozi wakubwa serikalini. Matokeo yake wapo bize kukaa na kusodoa kupiga majungu na kucheza vikoba .hawafanyi kazi na hawana muda wa kufatilia mwanafunzi. Hili ni tatizo kubwa sana. Hakuna wa kuwaonya wewe mkuu wa shule itamzingua mke wa boss wako? We thubutu.
Nb: hizi shule naona tu wanafunzi huwa wanakwenda kukua ns kucheza singeli tu.
Akili iliyotengeneza tatizo haiwezi kutatua tatizo